Huwa najiuliza swali, Endapo waafrika weusi tungepewa utajiri wa mafuta kama ilivyo kwa waarabu je tungeudumisha kama kinachoendelea UAE?

Sawa naigeria hakuna uislamu, boko haram ni wakristo wale, tena wasabato.

Umejiona ulivo jinga sasa kuingiza udini kila shm. Anyway hata Tanzania raisi ni mkristo.
 
Mafuta mbona tunayo. Au unavosikia Kuna ujenzi wa bomba la mafuta unafikiria litasafirisha Nini? Tumenyimwa utashi wa maamuzi na ubinafsi hayo mafuta ya Uganda yangechimbwa na kusafishwa hapo hapo Uganda waganda nao wangekufa kama warabu tu
 
Umemtaja Dangote kwamba anafaidika na utajiri wa mafuta ya Nigeria? Fatilia vizuri kaka, yeye mwenyewe anapigwa vita balaa na wenye mamlaka.
Sheria za madini na biashara kwa ujumla kwa nchi za Kiarabu ni 50%, njoo na mtaji wako lakini 50% ya shares zinabakia kwa mzawa, mfano Saudia ukitaka hata kuanzisha biashara ya duka tu, wewe mwenye mtaji una 50% then tafuta mzawa mmoja apewe hiyo 50 nyingine ndio utapata kibali cha biashara, Magufuli alitengeneza sheria ya local content tukamuona hamnazo, kwenye madini alitaka sana tufaidike, tukamuona kichaa. Tanzania imebahatika sana kupata viongozi wazalendo lakini Watanzania sasa, kazi sana. So to answer your questions; tungekua na mafuta, tungeiba sana pesa za biashara hiyo na pesa tungekwenda kuficha pesa hizo nje ya bara hili.
 
Kumbe hii umeiongeza kwenye Post yako ngoja nikwambie kuhusu Petro Dollars na jinsi Nchi za Kiarabu zilivyonyanganywa Uwezo wao wa kuweza kutumia mafuta kama Silaha...
  • In October 1973, the Organization of Arab Petroleum Exporting Countries (OAPEC) announced that it was implementing a total oil embargo against countries that had supported Israel at any point during the 1973 Yom Kippur War, which began after Egypt and Syria launched a large-scale surprise attack in an ultimately unsuccessful attempt to recover the territories that they had lost to Israel during the 1967 Six-Day War.
  • In an effort that was led by Faisal of Saudi Arabia, the initial countries that OAPEC targeted were Canada, Japan, the Netherlands, the United Kingdom, and the United States. This list was later expanded to include Portugal, Rhodesia, and South Africa.
  • In March 1974, OAPEC lifted the embargo, but the price of oil had risen by nearly 300%: from US$3 per barrel ($19/m3) to nearly US$12 per barrel ($75/m3) globally. Prices in the United States were significantly higher than the global average. After it was implemented, the embargo caused an oil crisis, or "shock", with many short- and long-term effects on the global economy as well as on global politics

Kwahio ili kuepuka kitu kama hiki kisitokee tena Kissinger alisaidia ku break a deal of Petrol dollars...
  • This agreement, brokered by Henry Kissinger in 1974, ensured that oil trade would be dominated by the US dollar. Saudi Arabia was persuaded to sign this deal with promises of US support against Iran and other regional threats. At the time, the US dollar had lost much of its credibility after President Richard Nixon suspended the Gold Standard in 1971. By creating the petro-dollar system, the US managed to maintain the dollar as the global reserve currency, facilitating economic growth through substantial debt accumulation.
Kwahio wewe unaweza kujiona mjanja kuwa na madollar mengi wakati yeye USA anaweza kuyaprint kila anvyotaka kwa kutumia Bonds hivyo Serikali kupata mikopo ya ya bei nafuu kwa kufanya matumizi yake..., Na wewe wala hautataka kuyabadilisha hayo madollar kwenye currency yako sababu ikipanda thamani vitu vyako vitakuwa expensive kulingana na wengine....

 
Bado tuulizane kwanini Waafrika hatuendelei?

Mfano huyu ndiyo apewe pale juu aongoze nchi unaweza unaona ni kwa namna gani Africans tupo narrowed kwenye fahamu zetu yaani ni vituko vituko vituko!!!
 
Si tuna dhahabu na hao waarabu hawana


Tumeifanyia nini
 
Ukipewa inamaana umeshapewa fursa ya kukitumia.

Kwanini akupe kama hataki ukitumie??

Hiyo Resource curse ndio mbinu za wazungu kutuhadaa.

Hakuna kitu kinaitwa Resource curse,

You are just brain washed
 
Kwa nini unataka watumie mafuta kama silaha?
Kwa nini umeleta mada ya kutumia mafuta kama silaha?
 
Kwa nini unataka watumie mafuta kama silaha?
Ndicho walichofanya October 1973, hata USA na mataifa mengine yalivyosema yangeweza kuwavamania, King faisal aliwaambia kwamba wakianza kuwavamia tu atalipua visima vyote na itachukua muda ku recover (Hio ndio power waliyokuwa nayo hizi nchi kama power ambayo angekuwa nayo Iran ya kutochezewa kama angekuwa na Nuclear au anayotumi Kim huko Korea

View: https://www.youtube.com/watch?v=jSIC4n__IXA
Kwa nini umeleta mada ya kutumia mafuta kama silaha?
Umeongelea Petrol Dollar na mimi nikakuonyesha ni vipi mkataba huo umewafanya kuwa puppets.., Case in Point kuna kipindi Reagan alikuwa aingie mkataba pesa za kutosha kuwauzia silaha Saudi Arabia.., baada ya politicians wengi USA kuja juu kwamba atakuwa anampa Silaha adui wa Israel Reagan akampa pande Thatcher (Margaret Thatcher held secret talks with Saudi rulers in 1985, leading up to the UK's largest arms deal) ambayo iliwapatia BAE (UK Pesa za Kumwanga) na hapo walitoa mlungula wa kufa mtu kwa hao viongozi....

In short this is like a chess game with so many pawns na hizo nchi nyingine zinanufaika mgongo wa Arab Countries na hao rulers kupewa pesa za kumwaga ndio maana hawaishi kuwa na extravagant spending (na majority ya pesa / spending zao wanazirudisha huko huko kununua bidhaa za hao hao wanaowachezesha kama mwanasesere)
 
Si kweli, sijawahi kuona mtu anafanikiwa na mafuta ya Mwamposa zaidi ya yeye mwenyewe kujitajirisha kwa pesa za wajinga (kondoo wake).
 
Mkuu umewaza mbali sanaa hahaha
 
Hapana wala hatitaji natural calamity sis inchi za kiafrica tunahitaji revolution kama ambavo ilitokea huko American na ulaya wakulima wafanyakazi wafanyabiashara wote kwa umoja wao walidai haki zao kwa nguvu na zikapatikana mkuu hizo french revolution British revolution America revolution na nyinginezo ndo zimefanya mpk leo wazungu wanaishi kwa kuheshimiana na kujaliana huwez sikia waziri wa fedha kaiba bribery embezzlement kajilimbikizia Mali no walishatoka huko kwa kugongana sanaaa miaka 1800s huko 🤣
 
Si kweli, sijawahi kuona mtu anafanikiwa na mafuta ya Mwamposa zaidi ya yeye mwenyewe kujitajirisha kwa pesa za wajinga (kondoo wake).
Mwampossa akiumwa ana bima ya afya ya million 2 anaenda hospitali kutibiwa au anaend ahata india hatumii hayo mafuta.
 
Na gharama ya kuzalisha hayo mafuta isingezidi dollar billion 10.
 
Hofu ya mzungu ni hii, nikiharibu leo keaho nitaishije..? 🤔🤔, kinyume chake sisi wana wa adamu tunaona kujenga barabara nyembamba ili tupige pesa za miaka miwili tuu, nionyeshe fisadi wa miradi ya umma aliyefanikiwa...., ahaa kumbe ufisadi ni UPUMBAVU, leo unajenga hospital chini ya kiwango ili iweje..?!!

Mzungu yeye walaa atajenga kitu kidumu for more than 100yrs

Watanzania tunahitaji kuijenga nchi yetu kwa uchungu na machozi ya dhati ili baadae watoto wetu waseme we had brave mom's and Dad's sio kina lokole and the likes
 
Muarabu hana mchango wowote zaidi ya kubuni hiyo dini yenu ya magaidi, hayo mafuta isingekua kwa mzungu huyo muarabu angeteseka sana
Mzungu ni mbwa wa muarabu ndo ujue kuanzia leo, OPEC wamebwekaaa weee mwisho wamerundi bandani kulala acha kabisa, muarabu akiamua next week petroleum iuzwe 5000k hashindwi na itauzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…