Huwa sielewi watu wanatoa wapi Uhalali wa kumfananisha Mwanamuziki Fally Ipupa na Feregola!

Fally Pupa afananishwe wasanii kama vile akina Bhudagala Mwanamalonja wa huku Meatu lakini sio Feregolla [emoji1787]

Na hata hivyo sio rahisi, Bhudagala pia ni level nyiningine kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wapiga Kura wakitoka geita Budaghala atashinda Kwa kishindo kama CCM
 
Kuna jamaa yangu anakwambia yeye anamkubali zaidi Ferregola mpaka namshangaa.

Hebu chukua time yako kasilize hivi vibao Mayday, SL, Maria, Se-Yo, Un Coupe, Science Fiction n.k Fally Ipupa mwisho wa matatizo
 
Fere Golla nyimbo maarufu na nzuri ni hizo 2 tu (100 Kilos & Kamasutra) lakini Fally Ipupa nyimbo zote ni hatari na nusu!.

Uzuri wa fally ipupa nyimbo za taratibu na sebene ni gwiji

nadhan fally ipupa wa zaman ila wa saaahv haeleweki anaimba rhumba ama anaimba kama jayz
 
Fally ipupa namuelewa sana kuanzia kwenye seyo, Mon amour, may day etc
 
Kuna jamaa yangu anakwambia yeye anamkubali zaidi Ferregola mpaka namshangaa.

Hebu chukua time yako kasilize hivi vibao Mayday, SL, Maria, Se-Yo, Un Coupe, Science Fiction n.k Fally Ipupa mwisho wa matatizo
Amalizie na Cardenas kama nitakuwa nimepatia jina.

Mayday ni wimbo ambao haujawahi kutokea duniani ila tu huo.
 
Mwishoooooo wa mjadalaaaaaa asante. Nifate inbox nikupe zawad muamala miamala
 
Sasa unataka kulazmisha kujaza arena ndio ktu gan ww.... Ebu nikuulze swal kiba ma mond yupi anamzk mzur
 
Hao hawajui rhumba Fally Ipupa ni[emoji91][emoji91] sikiliza MH hatari tupu
 
Kujulikana, kuuza havihusiani na uwezo binafsi. Kuna kuimba muziki, biashara na kismati.

Note, si kwamba Fally hajui ila ukiwashindanisha, Ferre Gola ni moto
 
Kujulikana, kuuza havihusiani na uwezo binafsi. Kuna kuimba muziki, biashara na kismati.

Note, si kwamba Fally hajui ila ukiwashindanisha, Ferre Gola ni moto
Fally anakismati sana japo anajua sana tuu kama ulivyosema hapo ila anajua kwa wengine ila sio kwa ferre gola jamaa ni hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…