Huwa sielewi watu wanatoa wapi Uhalali wa kumfananisha Mwanamuziki Fally Ipupa na Feregola!

Huwa sielewi watu wanatoa wapi Uhalali wa kumfananisha Mwanamuziki Fally Ipupa na Feregola!

Fally Pupa afananishwe wasanii kama vile akina Bhudagala Mwanamalonja wa huku Meatu lakini sio Feregolla [emoji1787]

Na hata hivyo sio rahisi, Bhudagala pia ni level nyiningine kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wapiga Kura wakitoka geita Budaghala atashinda Kwa kishindo kama CCM
 
Kuna jamaa yangu anakwambia yeye anamkubali zaidi Ferregola mpaka namshangaa.

Hebu chukua time yako kasilize hivi vibao Mayday, SL, Maria, Se-Yo, Un Coupe, Science Fiction n.k Fally Ipupa mwisho wa matatizo
 
Fere Golla nyimbo maarufu na nzuri ni hizo 2 tu (100 Kilos & Kamasutra) lakini Fally Ipupa nyimbo zote ni hatari na nusu!.

Uzuri wa fally ipupa nyimbo za taratibu na sebene ni gwiji

nadhan fally ipupa wa zaman ila wa saaahv haeleweki anaimba rhumba ama anaimba kama jayz
 
Fally ipupa namuelewa sana kuanzia kwenye seyo, Mon amour, may day etc
 
Kuna jamaa yangu anakwambia yeye anamkubali zaidi Ferregola mpaka namshangaa.

Hebu chukua time yako kasilize hivi vibao Mayday, SL, Maria, Se-Yo, Un Coupe, Science Fiction n.k Fally Ipupa mwisho wa matatizo
Amalizie na Cardenas kama nitakuwa nimepatia jina.

Mayday ni wimbo ambao haujawahi kutokea duniani ila tu huo.
 
Kuwa superstar na kupendwa sio kigezo cha kua msanii bora kuliko wengine hata burnaboy alijaza arena lakini sio msanii bora kuliko wote naigeria, diamond ni superstar bongo lakini sio msanii bora kuliko wote Tz kuna watu wanavipaji kuliko yeye wengi tuu, fally ipupa ana funbase kubwa duniani kuliko ferre gola ila hamzidi ferre gola kwa ubora, maisha haya na bahati hua inachangia.
Mwishoooooo wa mjadalaaaaaa asante. Nifate inbox nikupe zawad muamala miamala
 
Utakuwa na kichaa sio Bure, Fally ipupa huyu huyu ambae album yake ya Formule 7 yenye nyimbo kama MAYDAY na SE-YO inazidi kuvunja recodi huko Spotify!

FAlly ipupa tarehe 25 November 2023 amevunja rekodi ya kujaza PARIS LA DEFENSE ARENA Pale Paris. Ticket zilikuwa sold out!

There 8 December 2023 akajaza Wembley Arena

Tarehe 16 December 2023 yaani kesho anapiga show pale ING ARENA Belgium. Na Kwa taarifa yako ticket zimeshakuwa sold out! ... La huelew maana ya SOLD OUT kaangalie kwe ye dictionary yako! Halafu nakuomba fuatilia hizo arena zinachukua IDADI ya watu wangapi.

Naomba unitajie show yoyote ya ferre Gola amewahi kusold out arena yoyote ulaya. Usilete maneno yako ya kujaza arena sio kuimba muziki mzuri.

Kabla ya December Kuna show aka kopo la fally ipupa litapigwa pale Kwa Biden!

View attachment 2843512View attachment 2843513View attachment 2843514
Sasa unataka kulazmisha kujaza arena ndio ktu gan ww.... Ebu nikuulze swal kiba ma mond yupi anamzk mzur
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Hivi huwa mko Serious au huwa mnatania?,yaani Mwanamuziki Fally Ipupa mnamfananisha na Fere Golla?

Sijajua aliyeanzisha huu mpambano kama yuko timamu kichwani.

Koffi olomide amewahi kukaliliwa akisema "Moja kati ya waimbaji na wana jumuia wangu wa bendi ya QUARTIER LATIN ambao sitoweza kuwasahau ni Fally Ipupa,huyu mtu amebarikiwa kipaji cha aina yake katika muziki,bila shaka ukimtoa Marehemu Papa Wemba na mimi,basi atakuwa anafuata yeye"

Kwa maneno hayo ya Mkongwe na Gwiji la muziki wa Dansi na Rhumba kutoka Africa bila shaka Fally Ipupa ni Habari nyingine kabisa!.Vijana huyu Fally Ipupa uenda mtakuwa mmejua juzi tu baada ya kutoa wimbo wa Bakandja,Maria na Mayday!.

Lakini mimi mkongwe na wakongwe wenzangu tunaomfahamu Fally Ipupa toka Enzo hizo akiwa Stage Show na Singer wa Koffi Olomide kutoka bendi ya QUARTIER LATIN wala hatushangai namna alivyo hatari!

Vijana niwapendekezee tu,kama humfahamu Fally Ipupa hebu nendeni karudieni show aliyoifanya Dar es salaam mwaka 2009 ndo mtaelewa ni mtu wa aina gani!(Nendeni YouTube huko mtaikuta hii show)

Kwenye ile show walipanda wasanii wenu mnaowaaminia Amini & Barnaba wakaimba wimbo unaoitwa KIDIAMFUA,aiseee nilicheka sana maana wale wasanii wenu ni kama walikuwa wanaigiza siyo kuimba[emoji23],hapa ndipo nilijua hakuna msanii kitoka Tanzania anayejua kuimba bali huwa ni wababaishaji tu!

FALLY IPUPA acheni kabisa kumlinganisha na watoto wadogo katika muziki!
Hao hawajui rhumba Fally Ipupa ni[emoji91][emoji91] sikiliza MH hatari tupu
 
Utakuwa na kichaa sio Bure, Fally ipupa huyu huyu ambae album yake ya Formule 7 yenye nyimbo kama MAYDAY na SE-YO inazidi kuvunja recodi huko Spotify!

FAlly ipupa tarehe 25 November 2023 amevunja rekodi ya kujaza PARIS LA DEFENSE ARENA Pale Paris. Ticket zilikuwa sold out!

There 8 December 2023 akajaza Wembley Arena

Tarehe 16 December 2023 yaani kesho anapiga show pale ING ARENA Belgium. Na Kwa taarifa yako ticket zimeshakuwa sold out! ... La huelew maana ya SOLD OUT kaangalie kwe ye dictionary yako! Halafu nakuomba fuatilia hizo arena zinachukua IDADI ya watu wangapi.

Naomba unitajie show yoyote ya ferre Gola amewahi kusold out arena yoyote ulaya. Usilete maneno yako ya kujaza arena sio kuimba muziki mzuri.

Kabla ya December Kuna show aka kopo la fally ipupa litapigwa pale Kwa Biden!

View attachment 2843512View attachment 2843513View attachment 2843514
Kujulikana, kuuza havihusiani na uwezo binafsi. Kuna kuimba muziki, biashara na kismati.

Note, si kwamba Fally hajui ila ukiwashindanisha, Ferre Gola ni moto
 
Kujulikana, kuuza havihusiani na uwezo binafsi. Kuna kuimba muziki, biashara na kismati.

Note, si kwamba Fally hajui ila ukiwashindanisha, Ferre Gola ni moto
Fally anakismati sana japo anajua sana tuu kama ulivyosema hapo ila anajua kwa wengine ila sio kwa ferre gola jamaa ni hatari sana.
 
Back
Top Bottom