Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Hamjui mkuu huyo, nyimbo wanayoijui ni 100kilos basi. Huyu anaijui Liberte kweli?Hebu tutajie nyimbo 10 za ferre ulizosikiliza tuone kama kweli unamjua ferre le padre.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamjui mkuu huyo, nyimbo wanayoijui ni 100kilos basi. Huyu anaijui Liberte kweli?Hebu tutajie nyimbo 10 za ferre ulizosikiliza tuone kama kweli unamjua ferre le padre.
Dah mkuu ulikua wapi mda wote? Tulipigiwa sana kelele na hawa wasioijui rhumba vizuri.Huijui we labda uijuie 100 kilos, kwa maelezo yako we ni mweupe kwenye mziki wa congo hujui mengi na pia umetanguliza mbele ushabiki kuliko uhalisia, mimi kama mpenzi wa muziki wa Congo nawapenda wasanii wote Ferre na Fally na kila mmoja ana ladha yake katika muziki na pia kila mmoja kuna anachokijua zaidi, mfano Ferre anajua zaidi muziki wa Rhumba kuliko Fally na hii ni kutokana na nyimbo zake nyingi za rhumba ni nyingi na nzuri kuliko Fally, ni kawaida kukuta album nzimq ya Ferrw imejaa rhumba tupu. Hii ni tofauti kwa Fally ambaye katika album zake nyingi nyimbo za bolingo (genre tunayoitambua wabongo ndio nyingi lakini pia ndio zinaibeba album mfano Bakandja, 001, Ecole, Nzoto, Allo Telephone n.k. kwa hiyo Fally amempita katika nyimbo za bolingo zile za speed ambazo Ferre haziwezi. Sasa cha kujiuliza ni kimoja je Fally ni mkali wa bolingo kuliko Ferre lakini ni mkali kuliko wasanii wengine wa bolingo kwa kizazi chake? Ferre ni mkali wa Rhumba je kuna msanii mkali wa rhumba kuliko Ferre? Kama yupo mtaje.
Unaweza ukawa unamjua ila hufatilii mziki wake, inshort hujui lolote kuhusu ferre gola we endelea kusikiliza bakanja.Watu tunamjua huyo Felle Gola kabla hata hajawa na band pumbavu
Have some respect for your elders
Namuwekea hapa live concert ya wenge ya mwaka 1996, ferre gola akiimba mwanzo mwisho wakati huo fally hata hajaingia Quartier Latin yupo zake bendi ya mtaani iliyoitwa Talent Latent , wakati huo huko Quartier Latin kulikuwa na wakali animators akina Bivens Rappason,Suzuki Luzubu,Dolce Parabolique Somono n.k. wakati huo 1999 miaka mitatu mbele Fally ndio anapewa nafasi ya kuimba kidogo sana lakini Ferre anapewa concert aimbe dakika 45+ akiwa Wenge BCBG chini ya Jb na Werrason.Unaweza ukawa unamjua ila hufatilii mziki wake, inshort hujui lolote kuhusu ferre gola we endelea kusikiliza bakanja.
Namuwekea hapa live concert ya wenge ya mwaka 1996, ferre gola akiimba mwanzo mwisho wakati huo fally hata hajaingia Quartier Latin, huko kulikuwa na wakali animators akina Bivens Rappason,Suzuki Luzubu,Dolce Parabolique Somono n.k. wakati huo 1999 miaka mitatu mbele Fally ndio anapewa nafasi ya kuimba kidogo sana lakini Ferre anapewa concert aimbe dakika 45+ akiwa Wenge BCBG chini ya Jb na Werrason.
Fally kajiunga Quartier Latin mwaka 1999 wakati huo tayari Ferre ni mwanamuziki mkubwa ambapo mwaka 2005 ndio na yeye akajiunga na QL International ya mwamba Mopao Mokonzi, Ferre alidumu mwaka mmoja tu katika band ya koffi lakini alifanya makubwa sana ndani ya muda huo, ukitaka kuamini kasikilize Skol Longitima au katika album ya Danger de mort, wimbo kama "Silivi"na "Insecticide humo utapata balaa la Ferre.
Mkuu basi hizo albums wanazijua basi hawa mashabiki maandazi wa fally ipupa😂😂 labda wakazitafute sasa hivi, ngoma ya ferre gola wanayoijua ni 100kilos basi.Kwa faida ya wengi hizi ni albums kadhaa alizoshiriki Ferre Gola le padre akiwa solo, akiwa na wenge na akiwa na Quartier Latin.
Akiwa na Wenge
Akiwa na Koffi (QLI)
- Force D’Intervention Rapide (1998)
- Solola Bien (1999)
- Terrain Eza Miné (2000)
- Kibuisa Mpimpa (2001)
- À La Queue Leu-Leu (2002)
- Tindika Lokito (2003)
- Boma Nga N’Elengi (2005)
- Danger de Mort (2006)
Akiwa na bendi yake yeye na kina Bill Clinton hapa kuna album moja ya mwaka 2004.
- Miracles (2004)
Akiwa kama solo artist mpaka sasa ametoa albums zifuatazo
Kwa kuongezea tu watu wengi walimjua Ferre katika hiyo album yao ya mwaka 2004 maarufu kama Miracle kwa sababu ndani yake ndio kuna kibao cha rhumba kikali kuliko vyote Congo mpaka sasa ambacho ni 100 kilos na wala hiyo nyimbo haikuwa imebeba album.
- Sens Interdit (2006)
- Qui Est Derrière Toi (2009)
- Avant Goût – EP (2011)
- Boîte Noire (2013)
- Dérangement – EP (2014)
- QQJD (2017)
- Dynastie (2022)
Hiyo album yake ya Dynastie inaendelea maana ina volume 1 mpaka sasa zimefika vol 3 watu tunakula tu rhumba.
Mwisho niseme tu kuwa katika Rhumba ya muziki wa Congo basi hakuna kama Ferre. Kwa rhumba kali ukiwaweka Fally na Heritier Watanabe basi Wata anashinda saa 4 asubuhi.
Asante mkuu, nimesikitika mtoa mada mwenyewe kaishia kupigwa ban sijui kaharibu nini tena kwa pilato mod, sie acha tuendelee kuburudika na rhumba za mkali Ferre.Uzi ufungwe sasa, mpaka sasa ferre gola 5 fally ipupa 0. Mtani wa Taifa kamaliza kila kitu😂😂
Wao wanaujua 100 kilos tu wakati now tuko kwenye album ya Dynastie Vol III. Sisi hatumrate Ferre kutokana na wimbo mmoja wa Rhumba bali ni kwa mfululizo wa nyimbo zake kuanzia alipoanza muziki hadi sasa.Mkuu basi hizo albums wanazijua basi hawa mashabiki maandazi wa fally ipupa😂😂 labda wakazitafute sasa hivi, ngoma ya ferre gola wanayoijua ni 100kilos basi.
Mkuu hizi ninazo labda hii zazzou ndio nimeidownload sasa hivi naisikiliza ni hatari, nilikua nasikiliza sillivi aisee ni bonge la ngoma. Mkuu wewe ni noma✌, Kuhusu kupigwa ban kwa mleta mada haituhusu nahisi na hii kumlinganisha ferre gola na fally ipupa imewakasirisha mods😂😂Asante mkuu, nimesikitika mtoa mada mwenyewe kaishia kupigwa ban sijui kaharibu nini tena kwa pilato mod, sie acha tuendelee kuburudika na rhumba za mkali Ferre.
Naweka nyimbo 5 ninazozipenda zaidi
1. 100 kilos
2. Kinshasa
3. Zazzou
4. Eclipse
5. Kamasutra
Kweli mkuu na hiyo wanaijua kwasababu inapigwa sana bar bila hivyo wasingeijua naamini.Wao wanaujua 100 kilos tu wakati now tuko kwenye album ya Dynastie Vol III. Sisi hatumrate Ferre kutokana na wimbo mmoja wa Rhumba bali ni kwa mfululizo wa nyimbo zake kuanzia alipoanza muziki hadi sasa.
Muziki huenda na vionjo na hisia za mtu binafsi. Unaweza ukauona huu mzuri kwako, mwenzako akapenda mwingine ambao wewe wala haukuingii kabisa. Ni sawa sawa na mwanamke vile. kwahiyo usishangae, watu wote hatuwezi kupenda kitu hiki kwa vile tu wewe umekipenda. Learn to appreciate diversityNsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Hivi huwa mko Serious au huwa mnatania?,yaani Mwanamuziki Fally Ipupa mnamfananisha na Fere Golla?
Sijajua aliyeanzisha huu mpambano kama yuko timamu kichwani.
Koffi olomide amewahi kukaliliwa akisema "Moja kati ya waimbaji na wana jumuia wangu wa bendi ya QUARTIER LATIN ambao sitoweza kuwasahau ni Fally Ipupa,huyu mtu amebarikiwa kipaji cha aina yake katika muziki,bila shaka ukimtoa Marehemu Papa Wemba na mimi,basi atakuwa anafuata yeye"
Kwa maneno hayo ya Mkongwe na Gwiji la muziki wa Dansi na Rhumba kutoka Africa bila shaka Fally Ipupa ni Habari nyingine kabisa!.Vijana huyu Fally Ipupa uenda mtakuwa mmejua juzi tu baada ya kutoa wimbo wa Bakandja,Maria na Mayday!.
Lakini mimi mkongwe na wakongwe wenzangu tunaomfahamu Fally Ipupa toka Enzo hizo akiwa Stage Show na Singer wa Koffi Olomide kutoka bendi ya QUARTIER LATIN wala hatushangai namna alivyo hatari!
Vijana niwapendekezee tu,kama humfahamu Fally Ipupa hebu nendeni karudieni show aliyoifanya Dar es salaam mwaka 2009 ndo mtaelewa ni mtu wa aina gani!(Nendeni YouTube huko mtaikuta hii show)
Kwenye ile show walipanda wasanii wenu mnaowaaminia Amini & Barnaba wakaimba wimbo unaoitwa KIDIAMFUA,aiseee nilicheka sana maana wale wasanii wenu ni kama walikuwa wanaigiza siyo kuimba😂,hapa ndipo nilijua hakuna msanii kitoka Tanzania anayejua kuimba bali huwa ni wababaishaji tu!
FALLY IPUPA acheni kabisa kumlinganisha na watoto wadogo katika muziki!
Chache nyingi kabase rhumbaUnataka kuniambia
SE-YO ni SEBENE
MAYDAY ni SEBENE
Humanisme ni SEBENE
Amore ni SEBENE
Labas ni SEBENE
Centier Dossier ni SEBENE
Una kichaaa kweli wewe
Anakutana na Pisi Kali machotara Paris ulaya usa ndo ashoboke na wabongo.Fally Ipupa 🔥🔥🔥,Ila Jamaa kwenye show zake ananishangazaga sana ujue Hanaga shobo na pisi Kali hataa....anacheza kwa kutulia afu kwa heshimaa sana.
Kuna Moja Hamisa alimfuaata staging,Fally hata hakubabaikaa....yaan Mimi siwezi kujizuia kabisa kwa pisi Kali.
Ferre gola atabak kuwa juuWao wanaujua 100 kilos tu wakati now tuko kwenye album ya Dynastie Vol III. Sisi hatumrate Ferre kutokana na wimbo mmoja wa Rhumba bali ni kwa mfululizo wa nyimbo zake kuanzia alipoanza muziki hadi sasa.