Huwa Sipendi kuangalia mechi za Simba naibia naangalia Mpira ukiisha naanza Umia Rohoni

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Mimi sipendi kushabikia Simba sababu mimi ni Yanga kweli kweli. Ila ninaufahamu mpira wa miguu. Kuna wakati ushabiki naweka pembeni.

Sisi Yanga tunashindwa wapi kucheza mpira wanaocheza Simba? Mazoezini Kocha wetu anafundisha nini? Sioni anachofundisha au maybe michezaji yetu ishakuwa migume gume.

Simba wamecheza mpira fulani leo mpaka nikashangilia halafu nikakumbuka nawaangalia Simba. Nikatengeneza mikunjo kwenye sura na kusonya. Kuna wakati Uzalendo unatushinda sisi Wanayanga.

Huwa naangalia kwa kuchungulia chungulia, sipendi kuangalia matches zenu nyie Mapaka FC. Ila ntafanyaje nami napenda mpira. Simba wanacheza mpira mpaka kucheza mpira kunaonekana ni jambo rahisi sana.

Inaniuma sana, napofikiria huwaga ninalia inaniuma sana.
 
Pole mkuu tatizo lenu.

Mlileta mambo ya kitumwa kubeba wale wachezaji wenu juu juu pale airport na yule inji near wenu.

FB_IMG_16146238465861105.jpg
 
Mimi sipendi kushabikia Simba sababu mimi ni Yanga kweli kweli. Ila ninaufahamu mpira wa miguu. Kuna wakati ushabiki naweka pembeni.

Sisi Yanga tunashindwa wapi kucheza mpira wanaocheza Simba? Mazoezini Kocha wetu anafundisha nini? Sioni anachofundisha au maybe michezaji yetu ishakuwa migume gume.

Simba wamecheza mpira fulani leo mpaka nikashangilia halafu nikakumbuka nawaangalia Simba. Nikatengeneza mikunjo kwenye sura na kusonya. Kuna wakati Uzalendo unatushinda sisi Wanayanga.

Huwa naangalia kwa kuchungulia chungulia, sipendi kuangalia matches zenu nyie Mapaka FC. Ila ntafanyaje nami napenda mpira. Simba wanacheza mpira mpaka kucheza mpira kunaonekana ni jambo rahisi sana.

Inaniuma sana, napofikiria huwaga ninalia inaniuma sana.
Wenzetu mnajifunza kupiga penaiti tuuu
 
Mie ni yanga mwenzio,usiogope we angalia tu
 
Tunashukuru sana kwa kuwa muwazi
Simba ni jasiri muongoza njia kama
________
late"RM"
 
Mimi sipendi kushabikia Simba sababu mimi ni Yanga kweli kweli. Ila ninaufahamu mpira wa miguu. Kuna wakati ushabiki naweka pembeni.

Sisi Yanga tunashindwa wapi kucheza mpira wanaocheza Simba? Mazoezini Kocha wetu anafundisha nini? Sioni anachofundisha au maybe michezaji yetu ishakuwa migume gume.

Simba wamecheza mpira fulani leo mpaka nikashangilia halafu nikakumbuka nawaangalia Simba. Nikatengeneza mikunjo kwenye sura na kusonya. Kuna wakati Uzalendo unatushinda sisi Wanayanga.

Huwa naangalia kwa kuchungulia chungulia, sipendi kuangalia matches zenu nyie Mapaka FC. Ila ntafanyaje nami napenda mpira. Simba wanacheza mpira mpaka kucheza mpira kunaonekana ni jambo rahisi sana.

Inaniuma sana, napofikiria huwaga ninalia inaniuma sana.
Mkuu, hizi aina za Soka ni Utamaduni wa Club, pale Uingereza Arsenal wana utamaduni wa soka lao ambalo Manchester hata wawe watamu vipi hawachezi hivyo, kule Hispania ni Barcelona na Villarreal wanasoka la Utamaduni wa Club zao ambalo ni nadra kuliona kwa vilabu Vingine.Utamaduni wa soka la Kuburudisha upo Simba.Simba hata wakishinda bila soka la kuburudisha hawasikii raha.Ni jambo la miaka na miaka pale Msimbazi, ni sehemu ya Maisha pale Msimbazi

Tofauti na Yanga wao wako Result Oriented, yaani Yanga akili zao wameelekeza ktk kupata matokeo, ni utamaduni wao, team ambazo ni Result Oriented ni ngumu kucheza soka la kuburudisha kama lilivyo soka gumu la Atletico Madrid, ile ni team inayowaza kujipanga kupata matokeo tu.

Jambo hilo halina uhusiano na kocha, wachezaji au viongozi.

Jambo hilo huanzia katika shinikizo toka kwa mashabiki, mashabiki wa Yanga mnatakiwa muanze kutaka soka tamu hata mkifungwa mseme lakini soka tumeliona.Ninyi hamko hivyo.Hivyo taabu hii mtadumu nayo milele
 
Napenda sana matokeo kuliko mbwembwe. Kweli watu tunatofautiana. Yaani mm napenda hamsha hamsha, mipira mitatu watu wameshafika golini kwako, mara mwamba, mara goli, mara kipa kapokea shuti la moto. Nimeimiss sana chelsea ya Morinho na drogba.
 
Hili ndio soka la Yanga. Wewe unatakiwa uipende Yanga utasuuzika na roho yako.

Soka la Simba ni la pasi nyingi, burudani na ushindi, ndio maana leo unamuona Morson yupo Msimbazi ni zile mbwembwe zake za kupanda juu ya mpira timu ikiwa inaongoza.
(wenyewe wanaita Soka Biriani)
 
Hili ndio soka la Yanga. Wewe unatakiwa uipende Yanga utasuuzika na roho yako.

Soka la Simba ni la kutoa burudani na ushindi, ndio maana leo unamuona Morson yupo Msimbazi ni zile mbwembwe zake za kupanda juu ya mpira timu ikiwa inaongoza.
(wenyewe wanaita Soka Biriani)
Sina mapenzi na timu yenye huo utamaduni sijui kwann.
 
Napenda sana matokeo kuliko mbwembwe. Kweli watu tunatofautiana. Yaani mm napenda hamsha hamsha, mipira mitatu watu wameshafika golini kwako, mara mwamba, mara goli, mara kipa kapokea shuti la moto. Nimeimiss sana chelsea ya Morinho na drogba.
Sasa Yanga ndio wamejazana watu wa mtizamo wako tangu kale, ndio maana huwezi kuona soka la Burudani kule.Sio utamaduni wao.

Nadhani ni sahihi kila MTU abaki na utamaduni wake.Ama lah kije kizazi kipya kipandikize utamaduni mpya kwa Yanga
 
Hili ndio soka la Yanga. Wewe unatakiwa uipende Yanga utasuuzika na roho yako.

Soka la Simba ni la kutoa burudani na ushindi, ndio maana leo unamuona Morson yupo Msimbazi ni zile mbwembwe zake za kupanda juu ya mpira timu ikiwa inaongoza.
(wenyewe wanaita Soka Biriani)
Biriani ni Soka safi soka la kufundishwa soka la mipango,sio soka la Mbwembwe!!Hivyo kupanda mpira sio msingi wa soka biriani usichanganye mambo mkuu
 
Sasa Yanga ndio wamejazana watu wa mtizamo wako tangu kale, ndio maana huwezi kuona soka la Burudani kule.Sio utamaduni wao.

Nadhani ni sahihi kila MTU abaki na utamaduni wake.Ama lah kije kizazi kipya kipandikize utamaduni mpya kwa Yanga
Unajua binadamu tupo tofauti sana. Tafsiri ya burudani kwa binadamu inatofautiana sana. Mfano hata hiyo biriani kuna watu hawapendi kabisa hicho chakula.
 
Lakini haijawahi kutokea soka la Mourinho likaitwa Burudani, hivyo hilo soka unalopenda wewe sio soka la Burudani yaani Entertaining Football au Sex Football, sasa ukiamua mwenyewe kuliita hilo soka lako kuwa Soka la Burudani hicho kitakuwa kiburi chako tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom