Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mimi sipendi kushabikia Simba sababu mimi ni Yanga kweli kweli. Ila ninaufahamu mpira wa miguu. Kuna wakati ushabiki naweka pembeni.
Sisi Yanga tunashindwa wapi kucheza mpira wanaocheza Simba? Mazoezini Kocha wetu anafundisha nini? Sioni anachofundisha au maybe michezaji yetu ishakuwa migume gume.
Simba wamecheza mpira fulani leo mpaka nikashangilia halafu nikakumbuka nawaangalia Simba. Nikatengeneza mikunjo kwenye sura na kusonya. Kuna wakati Uzalendo unatushinda sisi Wanayanga.
Huwa naangalia kwa kuchungulia chungulia, sipendi kuangalia matches zenu nyie Mapaka FC. Ila ntafanyaje nami napenda mpira. Simba wanacheza mpira mpaka kucheza mpira kunaonekana ni jambo rahisi sana.
Inaniuma sana, napofikiria huwaga ninalia inaniuma sana.