medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,400
- 1,424
mm nina kismati na wanawake dizaini zote...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi huwa na kismati na wanawake wenye papuchi kubwa yaani swimingpool na wenye vikwapa vikali.
mi nina kisimati na wenye kithembe
Nina kismati na wanawake wanaonizidi umri,nikigusa tu wanajaa na mia
kumbe ww huwa ni KE
umenikumbusha jana wakati natoka mitaa flani hivi ya mwenge.Id yangu ilikupa wasiwasi nini, mie Jikedume
Vicheche ndiyo zangu!
umenikumbusha jana wakati natoka mitaa flani hivi ya mwenge.
Nimekutana na Jikedume mmoja hatari. mwanamke kavaa suru nusu tako, anagonga tano kama kawaida, anatembea huku anadunda kabisa!:lol::lol:
Damn! mbona nilikosa stata ya kumpa salam! lol
duh mwanaume mwenye kithembe...mi huwa nawaonaje sijui kama ney wa mitego mwili mkubwa afu kithembe mmh hapana
Ha ha ha h kumbe ulikuwa wewe sasa kwanini hukunisalimia mimi cna noma
Sijawahi kukosa mwanamke andunje!
Hatar sana kaka sali hilo ni pepo kamili😀
nimekumiss sana!
njoo unipe tena..:shocked:
Aiseee wewe mwanaume usinitafutie ugomvi na miss neddy....na Mme wangu kibo10 akiona hapa nyumban hapatalalika!
umenishikia na kiuno kabisa? hahahaa!
enzi zile miss neddy akiwa mwali, Kibo10 nilimuona akimnyemelea nyemelea kwa maneno mazito sana aisee! nikamkata miguu!:lol::lol:
Btw, sijamuona kiwatengu long time sana! ulimficha wapi kijana wa sansharie?
Sikia wewe mwanaume unanitafutia mabalaa ona sasa unamwita shanisarie akat mie nilishataafu kurukiana na waume za watu lol!!ila kiwatengu mtam jaman hahaha kuliko.....
hahahaaa!! nimekumbuka mbali! kiwatengu ni level nyingine kumbee! bado ana-rock moyo wako kimya kimya eenh!
miss neddy yeye keshanikimbia bhana, niko lonely kishenzi....