Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pc au simu, simu yangu itakosa chaji ya kuwasha data lakini sio ya kusikiliza muziki.Umeme hamna leo.
Mimi huwa nafanya hivyo pia
Mimi chakula hakipitiHakuna chakula kitakachopita mbele yangu nisikiguse.. nikiwa na stress hata hasira hua nazimalizia kwenye kula.. Unaweza kuzima simu usipatikane tu na mtu yeyote.. Au tu utembee tembee kama hauna mtu wakupiga nae stori nyumbani
Kutembea nayo ni best sana huwa naitumia pia hasa kagiza kakiingia, earpods masikioni mziki mkubwa mkono mmoja mfukoni natembea nashangaa shangaa dunia.Hakuna chakula kitakachopita mbele yangu nisikiguse.. nikiwa na stress hata hasira hua nazimalizia kwenye kula.. Unaweza kuzima simu usipatikane tu na mtu yeyote.. Au tu utembee tembee kama hauna mtu wakupiga nae stori nyumbani