Unatafuta kitu cha kufanya ili kukuondolea mawazo, kukupunguzia stress.
Wewe ni mwanamke;
1. Chukua nguo zako, za ndugu zako, wazazi wako toka nje vaa khanga tupu fua the whole day.
2. Fanya usafi wa nyumba, hakikisha kila kitu ni kisafi, wakati unafanya usafi fungulia mziki mkubwa, au weka headphones 🎧
3. Ukimaliza pika chakula kitamu, oga upake mafuta hadi ung'ae then kula na juice yako.
4. Kama bebe yupo call him and talk, kama upo emotionally okay mwambie mkutane akupe the best shag.
Hiyo stress isipoisha tafuta namna nyingine ya kubadilisha mambo.