Huwa unafanya nini ukiwa na msongo wa mawazo na si mnywaji wa pombe?

Huwa unafanya nini ukiwa na msongo wa mawazo na si mnywaji wa pombe?

Kuna tekniki natumia ya video zipo Youtube zinakuongoza ujinenee mazuri zinaitwa law of attraction meditation. Aisee hiyo kiboko! Natafuta sehemu tulivu nasikiliza hizo video alafu nazifuatisha. Nikitoka hapo hata kama kuna mlango ulifungwa lazima ufunguke.
 
Habari!

Huwa unafanya nini ukiwa stressfully ikiwa hutumii pombe wala starehe ya aina yoyote?

Bad days zinakugaja vibaya sana hazitoi taarifa😐.

Music, najikuta nimefungulia music kwa sauti naanza kuimba na kucheza kama nipo home.

Kama nipo road najifungia kwa gari kipupwe kikali music mkubwa na mwendo mdogo coz kichwa hakipo sawa!!

Jogging au evening walk nayo sometimes natumia kama tiba pia!!

Kuimba na kusikiliza music ni dawa kubwa sana ya stresss
 
Mchana beach, napata rafiki wapya huko napiga stori. Mchana nyama choma na ndizi Pepsi baridi. Jioni club nacheza kama nimealikwa. Kesho yake nitaanza upya kuna best yangu huyo namtafuta nampa mkanda yaaani atanipigia kila mara tusogoe yataisha tuuu.
 
Stress utokana na akili kukosa kazi ya kufanya.Kama upo jirani na bahari,ziwa,au swimming pool litazame mda mrefu bila kugeuza macho.
Au tazama rangi ya kijani kaa eneo lenye fresh air yaan miti na nyasi kaa ndani yake baada ya MDA stress upotea.
Kuna kutafuna big gee,kupaka kitunguu saumu au Vicks kwenye paji la uso.
Kuna kutoka Hilo eneo unasafiri kidogo,Kuna kutembea tembea ukifika kilometa tatu stress huwa zinaisha,Kuna kuingia gym kufanya mazoezi,kuwasha msumaa na kuutazama mda mrefu,kula pilipili,nk,kukaa kijiweni kuongea na watu,kwenda kutazama mpira,kushika jembe na kuwa bize na usafi nk.
 
👇🏾👇🏾👇🏾
IMG_20240118_162056_311.jpg

Nakaa chimbo kwenye mazingira ambayo sitaki kelele kabisa
 
Back
Top Bottom