Huwa unafanya nini ukiwa na msongo wa mawazo na si mnywaji wa pombe?

Huwa unafanya nini ukiwa na msongo wa mawazo na si mnywaji wa pombe?

Cha maana hapo ni pesa tu
Hapo ndiyo umeeleweka

1. Ishi maisha ya kawaida, usiige wengine wanaishije, usitamani mali za wengine maana hujuwi walizipataje

2. Ridhika na uikubali hali yako

3. Ongeza vyanzo vya mapato, usitegemee chanzo kimoja cha mapato ni hatari kwa maisha yako

4. Siyo lazima uishi mjini, wanaoishi vijijini nao pia ni binadamu
 
Naenda kuwatembelea ndugu wa karibu bila kuwaambia kitu maana sitakagi sympathy
Naenda tu napiga story tunafurahi kama ni picnic tunaenda au outing tosha kama hakuna ni kula nyama tu na kufurahi huku ukisahau stress zote
 
Back
Top Bottom