Huwa unafanya nini ukiwa na msongo wa mawazo na si mnywaji wa pombe?

Huwa unafanya nini ukiwa na msongo wa mawazo na si mnywaji wa pombe?

Naenda zangu beach kuoga nikiwa na kinywaji changu pendwa Mo xtra nikitoka zangu kuoga napoza koo/ kupiga story na wana napenda kuenjoy kusikiliza visanga vya wana nikiwa stressed nabak kufurahi tu,
Pia au nachukua zangu bike nakula misele nikiwa nawaza vitu mbalimbali kichwani nahis kuwa healed

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom