Huwa unafanya nini ukiwa na msongo wa mawazo na si mnywaji wa pombe?

Huwa unafanya nini ukiwa na msongo wa mawazo na si mnywaji wa pombe?

Mawaso yanatesa sana.
Sipendi kuwaza hovyo, naandika kwenye karatasi kila wazo linalosumbua ubongo wangu wakati huo.

Kisha nayasoma kuna mengine hayana maana yanakata, ya muhimu natafuta solution.

Muziki, pombe ni kuudanganya ubongo kwa mda tu, kabiliana nayo na tafuta suluhisho.2
Mkuu umenikumbusha wakati niko shule, nilikua naandika kila ninachokiwaza kwenye karatasi halafu nikimaliza nachana chana, nilikua naamini nikichana na stress zinachanika😃😃. Utoto raha sana aisee
 
Back
Top Bottom