Yuda Legacy
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 778
- 2,764
NASOMA BIBLIA NIKISOMA TU NAJISIKIA TUMAINI KUBWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole chora hata katuniSimu iko 7%, PC imezima pia😔
😂😂😂 wewe si upo Kigamboni, naelewa unafahamu leo hatuna umemeNacheza mzikiView attachment 2876409
Njoo uchaji jirani yanguSimu iko 7%, PC imezima pia😔
Nipo zangu baharini hapa nachezea maji huku nacheza mziki 🤣😁😂😂😂 wewe si upo Kigamboni, naelewa unafahamu leo hatuna umeme
Hiyo 7% kwangu kwa kusikiliza muziki inatosha sana hata masaa 4 yanapita bila kuzima.Simu iko 7%, PC imezima pia😔
Utakuja upate sonona.. toka nje uongee na Watu😂😂Mimi chakula hakipiti
Kuongea na yoyote nje naona ni adhabu kali😂😂😂. Nagugumia tu matatizo yangu mwenyewe
Ukijichanganya jukwaa unakutana na vichwa vibovu vya jf vinazidi kukuongezea Stress.Na_ Log in kwa JF
Sema Mara nyingi kama usiku hua nalia tu kwa sautiiii😂😂😂😂Kutembea nayo ni best sana huwa naitumia pia hasa kagiza kakiingia, earpods masikioni mziki mkubwa mkono mmoja mfukoni natembea nashangaa shangaa dunia.
Kwahyo wewe ukitoa simu huna kinachoweza kukutoa stress kwa muda? KafueKuchora siwezi, natamani nitoke tu lakini ndio hivyo Leo ni siku mbaya kweli kweli😕
Habari!
Huwa unafanya nini ukiwa stressfully ikiwa hutumii pombe wala starehe ya aina yoyote?
Bad days zinakugaja vibaya sana hazitoi taarifa😐.
Pole sana aisee... Ndo ukubwa huo😂😂Yaani nimeisha ndugu yako😕
😂 Ukilia unaheal?Sema Mara nyingi kama usiku hua nalia tu kwa sautiiii😂😂😂😂