Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Hey people
Ikitokea ile hali hujagombana na mtu wala kumkosea yoyote lakini mood yako iko mbaya(sio stress)
Niko na mood hii sasa hivi....
Sijisikii kula lakini natamani kula
Natamani kulala lakini sina usingizi
Nimetoka kazini jioni hii ajabu ni sitamani kurudi kazini tena,yaani sina mood ya kufanya kazi tena,ile mood ya sitaki kwenda kazini forever(sijakosana na yoyote huko kazini)
Mambo nafanya kujiweka sawa ni kusikiliza mziki,kubet zile mechi inplay,kufua nguo ama kulia sasa ajabu ni kwamba leo nimefanya hayo yote lakini sioni unafuu aseee!
Imagine hapa nalia lakini sina sababu ya kulia teh!
Kila kitu kiko sawa kwa upande wa mahusiano,siko period na wala sikaribii kuingia period,sina nyege
Huwa unafanyaje kuondokana na hizi moods?kuna mtu kanishauri tutoke lakini sioni namna ya kuaga hapa nyumbani usiku huu...siwezi kuruhusiwa kutoka muda huu
Uzi hauko tayari....