Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo nikumassage itakusaidiaHey people
Ikitokea ile hali hujagombana na mtu wala kumkosea yoyote lakini mood yako iko mbaya(sio stress)
Niko na mood hii sasa hivi....
Sijisikii kula lakini natamani kula
Natamani kulala lakini sina usingizi
Nimetoka kazini jioni hii ajabu ni sitamani kurudi kazini tena,yaani sina mood ya kufanya kazi tena,ile mood ya sitaki kwenda kazini forever(sijakosana na yoyote huko kazini)
Mambo nafanya kujiweka sawa ni kusikiliza mziki,kubet zile mechi inplay,kufua nguo ama kulia sasa ajabu ni kwamba leo nimefanya hayo yote lakini sioni unafuu aseee!
Imagine hapa nalia lakini sina sababu ya kulia teh!
Kila kitu kiko sawa kwa upande wa mahusiano,siko period na wala sikaribii kuingia period,sina nyege
Huwa unafanyaje kuondokana na hizi moods?kuna mtu kanishauri tutoke lakini sioni namna ya kuaga hapa nyumbani usiku huu...siwezi kuruhusiwa kutoka muda huu
Uzi hauko tayari....
Joanah sikiliza wimho kwanza nimeweka link Kama unasoma vitabu soma vitabu, novel
Hata kama hausomi vitabu soma tu(utasinzia ukiamka) cha kwanza oga na usikilize nyimbo zenye vibe (usisikilize zenye huzuni).
Mfano mimi asubuhi huwa nina wimbo wa Johnny Driel anaitwa Shine.
Mbona hujampa vpn..?!![]()
Doooh...poleeLink haifunguki arif
😂 😂 😂Nipe link
Ntampa akija PM ondoa shakaMbona hujampa vpn..?!
Pole sana, hii hali mie hunipata nikiwa sina hela nimefulia mbaya....ntajisikia upweke, ntakumbuka hadi ndugu waliofariki, sitamani kazi, yani ni mengi.Hey people
Ikitokea ile hali hujagombana na mtu wala kumkosea yoyote lakini mood yako iko mbaya(sio stress)
Niko na mood hii sasa hivi....
Sijisikii kula lakini natamani kula
Natamani kulala lakini sina usingizi
Nimetoka kazini jioni hii ajabu ni sitamani kurudi kazini tena,yaani sina mood ya kufanya kazi tena,ile mood ya sitaki kwenda kazini forever(sijakosana na yoyote huko kazini)
Mambo nafanya kujiweka sawa ni kusikiliza mziki,kubet zile mechi inplay,kufua nguo ama kulia sasa ajabu ni kwamba leo nimefanya hayo yote lakini sioni unafuu aseee!
Imagine hapa nalia lakini sina sababu ya kulia teh!
Kila kitu kiko sawa kwa upande wa mahusiano,siko period na wala sikaribii kuingia period,sina nyege
Huwa unafanyaje kuondokana na hizi moods?kuna mtu kanishauri tutoke lakini sioni namna ya kuaga hapa nyumbani usiku huu...siwezi kuruhusiwa kutoka muda huu
Uzi hauko tayari....
OK ingia tyuuu Xvideo...@Joanah utapata kila kituLink haifunguki arif
And this also is connected to something happened in your past life, that made you who you are today. Spiritually you need to reconcile with your past Mkuu..Hey people
Ikitokea ile hali hujagombana na mtu wala kumkosea yoyote lakini mood yako iko mbaya(sio stress)
Niko na mood hii sasa hivi....
Sijisikii kula lakini natamani kula
Natamani kulala lakini sina usingizi
Nimetoka kazini jioni hii ajabu ni sitamani kurudi kazini tena,yaani sina mood ya kufanya kazi tena,ile mood ya sitaki kwenda kazini forever(sijakosana na yoyote huko kazini)
Mambo nafanya kujiweka sawa ni kusikiliza mziki,kubet zile mechi inplay,kufua nguo ama kulia sasa ajabu ni kwamba leo nimefanya hayo yote lakini sioni unafuu aseee!
Imagine hapa nalia lakini sina sababu ya kulia teh!
Kila kitu kiko sawa kwa upande wa mahusiano,siko period na wala sikaribii kuingia period,sina nyege
Huwa unafanyaje kuondokana na hizi moods?kuna mtu kanishauri tutoke lakini sioni namna ya kuaga hapa nyumbani usiku huu...siwezi kuruhusiwa kutoka muda huu
Uzi hauko tayari....
Ugongwe tu. Hata kwa kulazimishwa. PERIODDawa ipi?
Most probably Una tatizo spiritually..
Lakini pia Una tatizo la mahusiano ingawa unajilazimisha kuwa uko Okay..
Na kazi pia huipendi ..mambo ya ajira mradi mshahara..
Hapo ungetafuta tiba za spiritual...
Halafu anza kutafuta hobby ambayo inaweza kuwa kazi yako baadae...
Kama unapenda gossip unaweza anzisha blog ya gossip ...mfano...geuza hobby iwe ajira..
Kuhusu spiritual healing ..Hilo somo refu
Hey people
Ikitokea ile hali hujagombana na mtu wala kumkosea yoyote lakini mood yako iko mbaya(sio stress)
Niko na mood hii sasa hivi....
Sijisikii kula lakini natamani kula
Natamani kulala lakini sina usingizi
Nimetoka kazini jioni hii ajabu ni sitamani kurudi kazini tena,yaani sina mood ya kufanya kazi tena,ile mood ya sitaki kwenda kazini forever(sijakosana na yoyote huko kazini)
Mambo nafanya kujiweka sawa ni kusikiliza mziki,kubet zile mechi inplay,kufua nguo ama kulia sasa ajabu ni kwamba leo nimefanya hayo yote lakini sioni unafuu aseee!
Imagine hapa nalia lakini sina sababu ya kulia teh!
Kila kitu kiko sawa kwa upande wa mahusiano,siko period na wala sikaribii kuingia period,sina nyege
Huwa unafanyaje kuondokana na hizi moods?kuna mtu kanishauri tutoke lakini sioni namna ya kuaga hapa nyumbani usiku huu...siwezi kuruhusiwa kutoka muda huu
Uzi hauko tayari....
The Boss tatizo la mahusiano nilishawahi kuwa nayo miaka ile ya kichuo chuo,sio sasa...haipo sababu ya kujilazimisha kuhusu hili
Kwenye kazi,hii pia sio sababu...naipenda kazi yangu kinyama
Spiritually,hii labda inaweza kuwa