Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asantee ChamasonMorisonBwalyasonTafuta wimbo wa Ringtone - OMBA kaimba na Christina Shusho utakusaidia sana
Tatizo upo Dar hii haitokufaa. Ni kuoga maji baridiii ukitoka hapo unakuwa busy na kutetemeka 😂
Cc Chaliifrancisco
Busy na kutetemeka, nimechekaa🤣🤣🤣Tatizo upo Dar hii haitokufaa. Ni kuoga maji baridiii ukitoka hapo unakuwa busy na kutetemeka 😂
Cc Chaliifrancisco
Mkuu Joanah hizo ni kama dalili za depression, au mara nyingine bipolar disorder. Jaribu kuingia YouTube ujaribu kusikiliza symptoms wanazoelezea kama zitaendana na hali unayopitia...
Vilevile ukinyonga ka-ganja baada ya kutoka kazini siyo mbaya. Inakufanya urelax, unapata peace vilevile unaappreciate life zaidi. Mara moja kwa mwezi siyo mbaya.
Pole sana, hii hali mie hunipata nikiwa sina hela nimefulia mbaya....ntajisikia upweke, ntakumbuka hadi ndugu waliofariki, sitamani kazi, yani ni mengi.
Nikiwa na hela sipati huu ujinga.
Lovely🙏🏽🙏🏽Mmea natumia karibia kila siku...iko kwenye ratiba hii kitu
Mimi ikinitokea suluhisho huwa ni moja tu.
Kuongea na washkaji ambao najua they have nothing to demand on me. Yaani hawakuambii chochote kuhusu kulewa wala maendeleo, ni kucheka na kufurahi tu kuhusu kipindi cha nyuma.
Talking with my little kids, hawana chochote cha kukuomba bali kufurahia tu. Napata amani sana ya moyo.
Joanah, get a baby. Hata ukiitwa single mama, it is better for your healthy soul. Mtoto ni dawa haswa kipindi chako cha ujana na utafutaji.
We sikia kula kilaji, kafanye matusi hizo mood zitaisha....Sasa mie tatizo sio pesa
Hii hali inanikuta nikikosana na mtu,lakini sina niliyekosana nae
/NAFANYA BIASHARA YA MAJENEZA
KAMA VIPI KUFA TU ILI BIASHARA YANGU ISOGEE KDG/....
/chakufanya apo weka order yako mapema tu kabla ya kufa/
Nafanya delivery mikoa yote Tz adi nje
ASANTEH[emoji120][emoji123]
Mkuu, leo yako, ni kesho uliyokuwa unaitazamia jana. Kwa hiyo yanayotokea sasa ni matokeo ya jana. Kwa hiyo mkuu inawezekana kuna kipindi kuna kitu kilikuumiza sana, uka move on lakini deep down, ukawa umebaki na makovu. Hayo makovu yanaweza kuwa ni psychological issues. Kwa sababu seriously unaonekana haupo sawa kwa maelezo uliyotoa. Siyo katika hali ya kawaida kabisa.Heee!jamani
We sikia kula kilaji, kafanye matusi hizo mood zitaisha....