Huwa unafanyaje ukipatwa na hali ya kutotaka kufanya chochote na kukosa furaha?

Njoo nikumassage itakusaidia
 
Asante Machepele
Mfano novel gani nzuri?
 
Mkuu Joanah hizo ni kama dalili za depression, au mara nyingine bipolar disorder. Jaribu kuingia YouTube ujaribu kusikiliza symptoms wanazoelezea kama zitaendana na hali unayopitia...
Vilevile ukinyonga ka-ganja baada ya kutoka kazini siyo mbaya. Inakufanya urelax, unapata peace vilevile unaappreciate life zaidi. Mara moja kwa mwezi siyo mbaya.
 
Pole sana, hii hali mie hunipata nikiwa sina hela nimefulia mbaya....ntajisikia upweke, ntakumbuka hadi ndugu waliofariki, sitamani kazi, yani ni mengi.

Nikiwa na hela sipati huu ujinga.
 
And this also is connected to something happened in your past life, that made you who you are today. Spiritually you need to reconcile with your past Mkuu..
 

The Boss tatizo la mahusiano nilishawahi kuwa nayo miaka ile ya kichuo chuo,sio sasa...haipo sababu ya kujilazimisha kuhusu hili

Kwenye kazi,hii pia sio sababu...naipenda kazi yangu kinyama

Spiritually,hii labda inaweza kuwa
 
Ukipata dudu la uhakika unafika kileleni at least mara tatu negative attitude KWISHNEY. πŸ‘…πŸ‘…πŸ‘…
 
The Boss tatizo la mahusiano nilishawahi kuwa nayo miaka ile ya kichuo chuo,sio sasa...haipo sababu ya kujilazimisha kuhusu hili

Kwenye kazi,hii pia sio sababu...naipenda kazi yangu kinyama

Spiritually,hii labda inaweza kuwa

Tafuta healing..
Jitazame ukilala mbali na nyumbani kuna nafuu?Kama kuna nafuu angalia namna ya kuhama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…