Huwa unafanyaje ukipatwa na hali ya kutotaka kufanya chochote na kukosa furaha?

Umewahi ijaribu Uncharted: Lost Legacy? Ni game nzuri ya mission kama NFS.

Umewahi jiwekea objectives za kuzifikia na hua unafanya kuevaluate?
Niliyonayo mi ni ya muda mrefu hadi inasumbua kufunguka sometimes...
 
Hiyo hali hua inanitokea sometime, ikinitokea hua namcheki kijana atanipa story za kuchekesha basi najikuta narudi kwenye moodπŸ˜ƒ
 
Kiasi
Kuna vireport vichache vilikuwa vinanipa stress mwisho mwisho mwa mwezi huu lakini napambana kukamilisha
Ongeza mda wa kupumzika akili ikae sawa
Kupumzika muhim pia usitumie simu mda mwingi au kuwepo kwenye screen mfano kama kompyuta navyo hujachangia hali kama hiyo
 
Ukipata dudu la uhakika unafika kileleni at least mara tatu negative attitude KWISHNEY. πŸ‘…πŸ‘…πŸ‘…
Yeboooo πŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈ
 
πŸ“ŒπŸ“Œ
 
Pole sana, hii hali mie hunipata nikiwa sina hela nimefulia mbaya....ntajisikia upweke, ntakumbuka hadi ndugu waliofariki, sitamani kazi, yani ni mengi.

Nikiwa na hela sipati huu ujinga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inatesa Sana hiyo hali, pole ukipata nafuu tujuze wananzengo njia gani unetumia, wenye tuko na hiyo shida Ni wengi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…