Huwa unafanyaje ukipatwa na hali ya kutotaka kufanya chochote na kukosa furaha?

A good fvck will do, well...mimi sio mwanasaikolojia..Ila kunyandua ni tiba[emoji39]
 
Therapy za Off mood:-
1. Sex(I mean great sex);
2. Make peace with you past;
3. Fanya mawasiliano na wana famalia/ndugu/marafiki. Mfano mimi nikiwa na mood usiofaa nikipiga siku wazee mara mbili ninakuwa sawa;
4. Kama kuna mtu mlikosana (haijalishi ni zamani kiasi gani) msamehe mpigie simu mwongee katika namna inayoonesha umemsamehe;
5. Tenga muda utembelee kituo cha watoto yatima cheza nao sana. Watakuambukiza furaha/mood wao;
6. Kama unalipa kodi ya nyumba angalia kama ushalipa au unadaiwa.
Anza na hatua hizo.
 
Most probably Una tatizo spiritually..
Lakini pia Una tatizo la mahusiano ingawa unajilazimisha kuwa uko Okay..

Na kazi pia huipendi ..mambo ya ajira mradi mshahara..

Hapo ungetafuta tiba za spiritual...

Halafu anza kutafuta hobby ambayo inaweza kuwa kazi yako baadae...

Kama unapenda gossip unaweza anzisha blog ya gossip ...mfano...geuza hobby iwe ajira..

Kuhusu spiritual healing ..Hilo somo refu
Katika wote,
Wewe pekee ndo umetoa jibu sahihi.
 
Most probably Una tatizo spiritually..
Lakini pia Una tatizo la mahusiano ingawa unajilazimisha kuwa uko Okay..

Na kazi pia huipendi ..mambo ya ajira mradi mshahara..

Hapo ungetafuta tiba za spiritual...

Halafu anza kutafuta hobby ambayo inaweza kuwa kazi yako baadae...

Kama unapenda gossip unaweza anzisha blog ya gossip ...mfano...geuza hobby iwe ajira..

Kuhusu spiritual healing ..Hilo somo refu

Nilitaka kuandika kitu, ila naona The Boss kamaliza kila kitu...

Mambo yetu ya kimwili yanapokuwa hayana suluhu, tafuta suluhu hiyo upande wa kiroho...
 
Kuna deni kubwa unadaiwa inawezekana imepita miaka mingi sana, lakini halitafutika mpaka either utubu au akaombe radhi kwa yule aliyefanyiwa inawezekana wewe au jamaa yako aliua, kutoa mimba, kufitinisha familia au jamii au jambo kingine baya kwa mtazamo wako na wewe ulitoa ushahidi wa uongo.
 
Mkuu,wewe hujawahi kuwa off mood ukitafuta sababu unaikosa?

Yani siku zako zote ni happy days?
 
Therapy za Off mood:-
1. Sex(I mean great sex);
2. Make peace with you past;
3. Fanya mawasiliano na wana famalia/ndugu/marafiki. Mfano mimi nikiwa na mood usiofaa nikipiga siku wazee mara mbili ninakuwa sawa;
4. Kama kuna mtu mlikosana (haijalishi ni zamani kiasi gani) msamehe mpigie simu mwongee katika namna inayoonesha umemsamehe;
5. Tenga muda utembelee kituo cha watoto yatima cheza nao sana. Watakuambukiza furaha/mood wao;
6. Kama unalipa kodi ya nyumba angalia kama ushalipa au unadaiwa.
Anza na hatua hizo.

Naongezea ile aliyonipa jana Chilita

Kuoga maji baridi
 
Ongeza mda wa kupumzika akili ikae sawa
Kupumzika muhim pia usitumie simu mda mwingi au kuwepo kwenye screen mfano kama kompyuta navyo hujachangia hali kama hiyo

Najitahidi kupumzika japo muda sio mwingi
Matumizi ya computer na simu kwangu hayapingiki...ndio kazi zangu zilipo

Lakini niko poa leo,ile hali ya jana sina tena
 
Hahaha. So umewahi kujiwekea objectives za kufikia katika maisha yako?
Hahahaah
Hivi kuna mtu hana target katika maisha??

Mie ninazo,nimejiwekea na ninazifanyia kazi
 
Back
Top Bottom