Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika wote,Most probably Una tatizo spiritually..
Lakini pia Una tatizo la mahusiano ingawa unajilazimisha kuwa uko Okay..
Na kazi pia huipendi ..mambo ya ajira mradi mshahara..
Hapo ungetafuta tiba za spiritual...
Halafu anza kutafuta hobby ambayo inaweza kuwa kazi yako baadae...
Kama unapenda gossip unaweza anzisha blog ya gossip ...mfano...geuza hobby iwe ajira..
Kuhusu spiritual healing ..Hilo somo refu
Hawa ndo wadada natakaga, yani yupo real...Sina nyege sasa
Au ulimanisha nigongwe na nini?
Most probably Una tatizo spiritually..
Lakini pia Una tatizo la mahusiano ingawa unajilazimisha kuwa uko Okay..
Na kazi pia huipendi ..mambo ya ajira mradi mshahara..
Hapo ungetafuta tiba za spiritual...
Halafu anza kutafuta hobby ambayo inaweza kuwa kazi yako baadae...
Kama unapenda gossip unaweza anzisha blog ya gossip ...mfano...geuza hobby iwe ajira..
Kuhusu spiritual healing ..Hilo somo refu
Nipe link
Mkuu,wewe hujawahi kuwa off mood ukitafuta sababu unaikosa?Kuna deni kubwa unadaiwa inawezekana imepita miaka mingi sana, lakini halitafutika mpaka either utubu au akaombe radhi kwa yule aliyefanyiwa inawezekana wewe au jamaa yako aliua, kutoa mimba, kufitinisha familia au jamii au jambo kingine baya kwa mtazamo wako na wewe ulitoa ushahidi wa uongo.
Therapy za Off mood:-
1. Sex(I mean great sex);
2. Make peace with you past;
3. Fanya mawasiliano na wana famalia/ndugu/marafiki. Mfano mimi nikiwa na mood usiofaa nikipiga siku wazee mara mbili ninakuwa sawa;
4. Kama kuna mtu mlikosana (haijalishi ni zamani kiasi gani) msamehe mpigie simu mwongee katika namna inayoonesha umemsamehe;
5. Tenga muda utembelee kituo cha watoto yatima cheza nao sana. Watakuambukiza furaha/mood wao;
6. Kama unalipa kodi ya nyumba angalia kama ushalipa au unadaiwa.
Anza na hatua hizo.
Ongeza mda wa kupumzika akili ikae sawa
Kupumzika muhim pia usitumie simu mda mwingi au kuwepo kwenye screen mfano kama kompyuta navyo hujachangia hali kama hiyo
HongeraNajitahidi kupumzika japo muda sio mwingi
Matumizi ya computer na simu kwangu hayapingiki...ndio kazi zangu zilipo
Lakini niko poa leo,ile hali ya jana sina tena