Mkuu,hali ya kuwa off mood nafikiri inamtokea kila mtu at times...mimi imenitokea jana jioni leo nimeamka poaToka sehemu unayoishi uende sehemu mpya urefresh kwa muda .
Nenda vacay na mtu special .
Mkuu,hali ya kuwa off mood nafikiri inamtokea kila mtu at times...mimi imenitokea jana jioni leo nimeamka poa
Kuhusu vacay ni idea nzuri lakini kwa sasa sina muda wa kutoka kurefresh hata kwa siku mbili...sina kabisa nafasi
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwa taarifa yako mi mwenyewe nauza majeneza
Nikifa faida inaingia kwenye biashara yangu
Kwahiyo jirani unaimba kwaya sikuhizi?Amen mpendwa..Tukutane kwenye kwaya.
Mkuu nimekufuata pm tuongee ni siku nyingi sana kwenye group letu pendwaHey people
Ikitokea ile hali hujagombana na mtu wala kumkosea yoyote lakini mood yako iko mbaya(sio stress)
Niko na mood hii sasa hivi....
Sijisikii kula lakini natamani kula
Natamani kulala lakini sina usingizi
Nimetoka kazini jioni hii ajabu ni sitamani kurudi kazini tena,yaani sina mood ya kufanya kazi tena,ile mood ya sitaki kwenda kazini forever(sijakosana na yoyote huko kazini)
Mambo nafanya kujiweka sawa ni kusikiliza mziki,kubet zile mechi inplay,kufua nguo ama kulia sasa ajabu ni kwamba leo nimefanya hayo yote lakini sioni unafuu aseee!
Imagine hapa nalia lakini sina sababu ya kulia teh!
Kila kitu kiko sawa kwa upande wa mahusiano,siko period na wala sikaribii kuingia period,sina nyege
Huwa unafanyaje kuondokana na hizi moods?kuna mtu kanishauri tutoke lakini sioni namna ya kuaga hapa nyumbani usiku huu...siwezi kuruhusiwa kutoka muda huu
Uzi hauko tayari....
Kwa kawaida huwa unaumia siku moja tu zingine zote freshMazoezi siwezi,nishafanya mazoezi siku moja nikaumia
Hey people
Ikitokea ile hali hujagombana na mtu wala kumkosea yoyote lakini mood yako iko mbaya(sio stress)
Niko na mood hii sasa hivi....
Sijisikii kula lakini natamani kula
Natamani kulala lakini sina usingizi
Nimetoka kazini jioni hii ajabu ni sitamani kurudi kazini tena,yaani sina mood ya kufanya kazi tena,ile mood ya sitaki kwenda kazini forever(sijakosana na yoyote huko kazini)
Mambo nafanya kujiweka sawa ni kusikiliza mziki,kubet zile mechi inplay,kufua nguo ama kulia sasa ajabu ni kwamba leo nimefanya hayo yote lakini sioni unafuu aseee!
Imagine hapa nalia lakini sina sababu ya kulia teh!
Kila kitu kiko sawa kwa upande wa mahusiano,siko period na wala sikaribii kuingia period,sina nyege
Huwa unafanyaje kuondokana na hizi moods?kuna mtu kanishauri tutoke lakini sioni namna ya kuaga hapa nyumbani usiku huu...siwezi kuruhusiwa kutoka muda huu
Uzi hauko tayari....
Cheki connection ya mama j utakaa sawa[emoji16]Hey people