Huwa unafanyaje ukipatwa na hali ya kutotaka kufanya chochote na kukosa furaha?

Huwa unafanyaje ukipatwa na hali ya kutotaka kufanya chochote na kukosa furaha?

Toka sehemu unayoishi uende sehemu mpya urefresh kwa muda .
Nenda vacay na mtu special .
Mkuu,hali ya kuwa off mood nafikiri inamtokea kila mtu at times...mimi imenitokea jana jioni leo nimeamka poa

Kuhusu vacay ni idea nzuri lakini kwa sasa sina muda wa kutoka kurefresh hata kwa siku mbili...sina kabisa nafasi
 
Vizuri kama upo poa
Hasa wanawake inatokea sana sababu ya PMS , unajikuta tu unafeel down ,huelewi mambo yanavyoenda hata .
 
Inatokeaga, heri wewe Siku moja mimi inaweza dumu hata mwezi mzima..
Nafikiri ni ile hali ya kutojua solution ya jambo la kihisia..ilihali unataka lipate solution ASAP
unajikuta maisha hayana maana/uko down/huna amani tu sasa hii hali inakua ni mateso unajikuta tu unalia maana unaona wengine wanaendelea tu na maisha yao wewe uko kutwa una deal na illusion...
Huwaga ni tatizo la Kiroho
Kuchoka mazingira au maisha ya aina flani!
 
Wanavyosema tuishi na nyie kwa akili wako right sana maana huwa mna upungufu wa akili,mtu kulia tu peke yake bila chanzo ni viashiria vya awali kabisa za kuwa moko
 
Hey people

Ikitokea ile hali hujagombana na mtu wala kumkosea yoyote lakini mood yako iko mbaya(sio stress)

Niko na mood hii sasa hivi....
Sijisikii kula lakini natamani kula
Natamani kulala lakini sina usingizi
Nimetoka kazini jioni hii ajabu ni sitamani kurudi kazini tena,yaani sina mood ya kufanya kazi tena,ile mood ya sitaki kwenda kazini forever(sijakosana na yoyote huko kazini)

Mambo nafanya kujiweka sawa ni kusikiliza mziki,kubet zile mechi inplay,kufua nguo ama kulia sasa ajabu ni kwamba leo nimefanya hayo yote lakini sioni unafuu aseee!

Imagine hapa nalia lakini sina sababu ya kulia teh!

Kila kitu kiko sawa kwa upande wa mahusiano,siko period na wala sikaribii kuingia period,sina nyege

Huwa unafanyaje kuondokana na hizi moods?kuna mtu kanishauri tutoke lakini sioni namna ya kuaga hapa nyumbani usiku huu...siwezi kuruhusiwa kutoka muda huu

Uzi hauko tayari....
Mkuu nimekufuata pm tuongee ni siku nyingi sana kwenye group letu pendwa
 
Madame Joanah . Inaitwa emotional power. Huwa inatokea automatically na huwa na form tofauti kulingana na wakati , kuna muda unahisi furaha from no where, kuna muda unakuwa na hasira , kuna muda unakuwa mnyonge tu na muda mwingine unahisi huzunihuzuni. Hii ni intuition power ambapo mwili na ubongo vina sense uwepo wa hali flan pa bila kutokea na hapa ndipo watu huhusianisha na imani za kiroho mana kuna baadhi ya hisia hu relate na uhalisia kwa mfn unaweza kuwa na huzunihuzuni then ukashuhudia msiba, ajali au kupewa taarifa mbaya badae. Wengine wanasema ni brain repairer (ubongo unakuwa unaji form upya baada yakuchoka kufkiria na kufanya kazi kwa muda mrefu) . Hali hii kuna baadhi ya watu huwa inaondoka yenyewe baada ya muda na wengine huisha kwa kujichanganya kwenye watu, kucheza au kufanya jambo lolote wanalolipenda. . Kila mtu hupitia hali hii inatofautiana mifumo tu
 
Tafuta MTU akunyonye k uzuri..alafu akutie ipasavyo ...dawa ya mood kwa demu ni kumtia vizuri tu..akojoeee mpaka..akichoka akalala mood huisha...nitafte pm .. will assist you in need...and you won't regret indeed...
 
Asante Machepele
Mfano novel gani nzuri?
"unanswered cries" hahahaha am joking my dear. Kama ni mkristu kaa chumbani kwako ingia kwenye maombi mwombe Mungu hiyo hali itoke. Imba pia ukimaliza kusali ukipata feelings za kulia lia tu utakuwa sawa.
 
Hey people

Ikitokea ile hali hujagombana na mtu wala kumkosea yoyote lakini mood yako iko mbaya(sio stress)

Niko na mood hii sasa hivi....
Sijisikii kula lakini natamani kula
Natamani kulala lakini sina usingizi
Nimetoka kazini jioni hii ajabu ni sitamani kurudi kazini tena,yaani sina mood ya kufanya kazi tena,ile mood ya sitaki kwenda kazini forever(sijakosana na yoyote huko kazini)

Mambo nafanya kujiweka sawa ni kusikiliza mziki,kubet zile mechi inplay,kufua nguo ama kulia sasa ajabu ni kwamba leo nimefanya hayo yote lakini sioni unafuu aseee!

Imagine hapa nalia lakini sina sababu ya kulia teh!

Kila kitu kiko sawa kwa upande wa mahusiano,siko period na wala sikaribii kuingia period,sina nyege

Huwa unafanyaje kuondokana na hizi moods?kuna mtu kanishauri tutoke lakini sioni namna ya kuaga hapa nyumbani usiku huu...siwezi kuruhusiwa kutoka muda huu

Uzi hauko tayari....

Here we go Lady
1.Chukua paper Panga mipango ile ulkua unaiwazia wakati uko primary school like kua na company ya kupeleka watu Jupiter

2.Bundle unalo (hitaji la muhimu though)
Ingia Youtube View zachtech videos or Julius Dein videos Or supercar blonde

3.Ukiona hazinogi still uko Stressed please check me in +255621388494(Watsapp only) Alot Fun to share Hope You'll be ok
 
Hey people

Ikitokea ile hali hujagombana na mtu wala kumkosea yoyote lakini mood yako iko mbaya(sio stress)

Niko na mood hii sasa hivi....
Sijisikii kula lakini natamani kula
Natamani kulala lakini sina usingizi
Nimetoka kazini jioni hii ajabu ni sitamani kurudi kazini tena,yaani sina mood ya kufanya kazi tena,ile mood ya sitaki kwenda kazini forever(sijakosana na yoyote huko kazini)

Mambo nafanya kujiweka sawa ni kusikiliza mziki,kubet zile mechi inplay,kufua nguo ama kulia sasa ajabu ni kwamba leo nimefanya hayo yote lakini sioni unafuu aseee!

Imagine hapa nalia lakini sina sababu ya kulia teh!

Kila kitu kiko sawa kwa upande wa mahusiano,siko period na wala sikaribii kuingia period,sina nyege

Huwa unafanyaje kuondokana na hizi moods?kuna mtu kanishauri tutoke lakini sioni namna ya kuaga hapa nyumbani usiku huu...siwezi kuruhusiwa kutoka muda huu

Uzi hauko tayari....
Cheki connection ya mama j utakaa sawa[emoji16]
 
Back
Top Bottom