Huwa unafanyaje ukipatwa na hali ya kutotaka kufanya chochote na kukosa furaha?

Huwa unafanyaje ukipatwa na hali ya kutotaka kufanya chochote na kukosa furaha?

Inatesa Sana hiyo hali, pole ukipata nafuu tujuze wananzengo njia gani unetumia, wenye tuko na hiyo shida Ni wengi,
Mie imenikuta jana,kuwa off mood halafu sijui chanzo chake...inaboa manake hujui hata source ya tatizo lakini inabidi utafute solution

Nilichofanya nimeongea na mtu fulani tu kwenye simu usiku wa jana,akanituliza nikalala....nimeamka niko poa sana

Hata huu uzi umenifanya nijisikie uafadhali mixer baadhi ya PMs nilizopata
BAK 🤣🤣
 
Weka nyimbo za gospel sikiliza wimbo wa hillsong unaitwa Still,zikiliza pia mwingine unaitwa oceans. Pia sikiliza wimbo wa Chakutumaini sina. Njoo malizia Yesu kwetu ni rafiki. Soma Zaburi 23 yote.
Thanks sana madame Victoire
 
Mie imenikuta jana,kuwa off mood halafu sijui chanzo chake...inaboa manake hujui hata source ya tatizo lakini inabidi utafute solution

Nilichofanya nimeongea na mtu fulani tu kwenye simu usiku wa jana,akanituliza nikalala....nimeamka niko poa sana
Mtu gani? Shemeji?😂
Ni heri lakini km ulipata ahueni
 
Kacheze na watoto wadogo utagundua unajipa ugumu wewe mwenyewe tu, maisha ni mepesi na yenye raha sana
 
Unaweza kufanya mazoezi kama kuruka kamba. Au kukimbia au mazoezi mengine mpaka utiririke jasho la kutosha halafu kaoge utajiskia poa.
 
Back
Top Bottom