Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Nilijikuta mwili wote umekufa ganzi moyoni maumivu si ya nchi hii aisee nilijikuta jumapili yangu inakua ya motoMe mwenyewe alianza hivyohivyo mwishowe akaniambia hebu nakuomba kuanzia Leo ustop kunitumia hizi sms
Futa block! Mambo ya kubembelezana nilishayaacha kitambo baada ya kukua na kutambua kuna mambo mengi ya msingiHuwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu
Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
Kuna msanii amewai kuimba Unatuma meseji asubuh anajib usiku.... anatuma meseji usiku anajib asbh..Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu
Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
Vp lkn! Kumekucha tenaRaia mtakuwa mko na shida ya macho.
Akichelewa kujibu text ya kwanza namuuliza sababu ya kuchelewa ni nini kama akitoa sababu ambayo inazuia kuchat kwa muda huo namuaga ili aendelee na majukumu yake ila kama akasema afanyi chochote wakati bado reply inachelewa basi chatting itaishia hapo.Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu
Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
😀😀😀😀😀Halafu unamwambia mbona kimya hvy my 😂
😂😂😂😂 wanawake wana matatizo sana, akishaona umepunguza attention, anajifanya kurudi, akili zao bana.Zingatia tarehe na tofauti ya masaa au dakika.
Namtumia msg saa ngapi na yeye anakuja kujibu baada ya muda gani.👇👇View attachment 3012480
Nikaenda nae kama mwezi ghaflaa nikakata kambaa🤣🤣🤣😂akawa kimyaa na yeye ananisubiri nimuandikie msg...akaibuka ghaflaa👇👇
View attachment 3012481
vipi kama ana hela, ila anapima ?Sikuambii utafute hela, ila wanaume wenye hela hujibiwa meseji kwa haraka zaidi......
Uko kwenye mapenzi au kwenye vipimo? Kadate maabara huko ndugu yangu.vipi kama ana hela, ila anapima ?
kwakuwa anatafuta the best woman
au ndio kujiuza huko et madam?
Unaweza ukawa na hela na still demu akakudengulia hapo kinacho matter demu Ana hisia na weweNasisitiza.
sasa c tunataka ma wife.Uko kwenye mapenzi au kwenye vipimo? Kadate maabara huko ndugu yangu.
Usikariri kijana demu anakuwa active kwako ni pale akiwa anakupenda bila kujali una pesa au hauna, unaweza ukawa una hela na still akakudengulia kama hana hisiaTafuta hela
🤣🤣😂inafikirisha sanaa,sijui hata huwa wanawaza nini humo vichwani mwao.😂😂😂😂 wanawake wana matatizo sana, akishaona umepunguza attention, anajifanya kurudi, akili zao bana.
Jambazi wa mapenzi katika moja na mbiliUkituma pesa sasa ndio angalau hata text zinajibika. Kuchatishwa tu "umeamka, umekula, umevaa nini, sijui tuma picha nikuone..." aaagggrrr zinakata stim balaa . Tunawapenda sana nyie pamoja na pesa zenu.
Bora anidengulie nikiwa na pesa...ukute huna pesa afu manzi ikuletee maseke hayo maumivu yake sasaUsikariri kijana demu anakuwa active kwako ni pale akiwa anakupenda bila kujali una pesa au hauna, unaweza ukawa una hela na still akakudengulia kama hana hisia