Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
Kuna msanii amewai kuimba Unatuma meseji asubuh anajib usiku.... anatuma meseji usiku anajib asbh..
Ukituma Muamala haujibiw Wala hupati neno la shukrani
All in all,
Wahenga walisemaga penda unapo pendwa usipende usipo pendwa..
 
Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
Akichelewa kujibu text ya kwanza namuuliza sababu ya kuchelewa ni nini kama akitoa sababu ambayo inazuia kuchat kwa muda huo namuaga ili aendelee na majukumu yake ila kama akasema afanyi chochote wakati bado reply inachelewa basi chatting itaishia hapo.
 
Zingatia tarehe na tofauti ya masaa au dakika.
Namtumia msg saa ngapi na yeye anakuja kujibu baada ya muda gani.👇👇View attachment 3012480
Nikaenda nae kama mwezi ghaflaa nikakata kambaa🤣🤣🤣😂akawa kimyaa na yeye ananisubiri nimuandikie msg...akaibuka ghaflaa👇👇
View attachment 3012481
😂😂😂😂 wanawake wana matatizo sana, akishaona umepunguza attention, anajifanya kurudi, akili zao bana.
 
Ukiona message zako zinajibiwa kwa kuchelewa jua umechokwa hutakiwi Tena,au mwenza wako hayupo interested na wewe Tena.

Watu mnatakiwa kujifunza kubalance shobo.Mtu akikutafute na wewe mtafute,akikaushe nawe kausha vile vile.

Avoid clingy r/ship.
 
Huwa sijisikii chochote kwani huwa nakata mawasiliano ili anihangaikie yeye, na asipohangaika anakuwa kanisaidia kufahamu kuwa nilikuwa nalazimisha kupandisha maji mlimani.
 
Back
Top Bottom