Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

Kuchati ni Kama mchezo wa tennis (piga nipige) tofauti na hapo....., Mmoja wenu anajipendekeza.

Huwezi piga tennis kumi mwenzio ndio anapiga ka-tennis kamoja..., Haitakuwa tennis Tena.
Nikiwa nataka mbunye nitajipendekeza hasaaa, nitatuma 10 we jibu 1
Ila nikikukula sasa, ITS MY TIME TO RULE THE TENNIS COURT.

#YNWA
 
Kuchati ni Kama mchezo wa tennis (piga nipige) tofauti na hapo....., Mmoja wenu anajipendekeza.

Huwezi piga tennis kumi mwenzio ndio anapiga ka-tennis kamoja..., Haitakuwa tennis Tena.
Utazipigaje tennis kumi kama hurudishiwi hizo tennis?

Au unakuwa na tennis kumi mkononi unazipiga zote mfululizo huku hakuna majibu yanayorudishwa...
 
Mambo ya kuchati ni ya KITOTO na ya enzi za mitandao.

Sisi wakurya hatuna mambo ya kuchati chati ovyo.

Nakupiga ngwala nakushindilia hogo unatulia nyumbani unalea watoto taratibu.

Mambo ya KUCHATI CHATI kama wendawazimu ni ya watoto wa enzi za 2000.

Sisi wakurya ni kazi tu. HOGO MOJA CHALI.

Cc: Lamomy Extrovert
 
Wizo ushatoka nje ya mstari πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hogo unalo toka lini?? Ww mbona unanichanganya?!! Nita cancel ule mwaliko wa kuja kwangu kunisalimia sasa.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…