Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ndio ndio, tunamshukuru Mungu.Vp lkn! Kumekucha tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ndio, tunamshukuru Mungu.Vp lkn! Kumekucha tena
Pesa zinavuta hisia.Unaweza ukawa na hela na still demu akakudengulia hapo kinacho matter demu Ana hisia na wewe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jambazi wa mapenzi katika moja na mbili
Wewe utakuwa unafanya biashara za mapenziPesa zinavuta hisia.
Sahihi.Usikariri kijana demu anakuwa active kwako ni pale akiwa anakupenda bila kujali una pesa au hauna, unaweza ukawa una hela na still akakudengulia kama hana hisia
Nikiwa nataka mbunye nitajipendekeza hasaaa, nitatuma 10 we jibu 1Kuchati ni Kama mchezo wa tennis (piga nipige) tofauti na hapo....., Mmoja wenu anajipendekeza.
Huwezi piga tennis kumi mwenzio ndio anapiga ka-tennis kamoja..., Haitakuwa tennis Tena.
We endelea kujipendekeza mpaka umkuleUnacheza kuendana na biti.
Asipojibu kwa wakati akikutafutu nawe kausha.
Mtu wa hivyo ni bora zaidi kuongea nae kuliko kuchat.
Sawa.Wewe utakuwa unafanya biashara za mapenzi
Utazipigaje tennis kumi kama hurudishiwi hizo tennis?Kuchati ni Kama mchezo wa tennis (piga nipige) tofauti na hapo....., Mmoja wenu anajipendekeza.
Huwezi piga tennis kumi mwenzio ndio anapiga ka-tennis kamoja..., Haitakuwa tennis Tena.
Utazipigaje tennis kumi kama hurudishiwi hizo tennis?Kuchati ni Kama mchezo wa tennis (piga nipige) tofauti na hapo....., Mmoja wenu anajipendekeza.
Huwezi piga tennis kumi mwenzio ndio anapiga ka-tennis kamoja..., Haitakuwa tennis Tena.
Hili nalo akalitazameMuda ambao hakujibu, anachat na anayempenda kuliko wewe
Kwahiyo vumilia
Hahahaa, sio kujibu atakuwa anaanzisha chating kabisaAchana nae, hajakua huyo! Akifika 30 years atakuwa anajibu sms kwa wakati
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu unamwambia mbona kimya hvy my [emoji23]
Kwa heshima na taadhima nipo mbele yako, ebu sikikiza kilio cha Mpaji Mungu [emoji2]Sasa si ni mshangazi kweli[emoji1787]
Mkuu mbona mi sijalia😁Kwa heshima na taadhima nipo mbele yako, ebu sikikiza kilio cha Mpaji Mungu [emoji2]
Mpaji Mungu eti unalia mdogo wangu?Kwa heshima na taadhima nipo mbele yako, ebu sikikiza kilio cha Mpaji Mungu [emoji2]
Wizo ushatoka nje ya mstari 😂😂😂Mambo ya kuchati ni ya KITOTO na ya enzi za mitandao.
Sisi wakurya hatuna mambo ya kuchati chati ovyo.
Nakupiga ngwala nakushindilia hogo unatulia nyumbani unalea watoto taratibu.
Mambo ya KUCHATI CHATI kama wendawazimu ni ya watoto wa enzi za 2000.
Sisi wakurya ni kazi tu. HOGO MOJA CHALI.
Cc: Lamomy Extrovert