Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
Inategemea na msg ya kujibu kwa wakati, unakuta muda wote unaongelea ujinga wa warumi, sasa utaweza kweli?? Muda mwingine lazima tujadili PESA buana
 
Heri ya muungano...
Jibu: Amina.

πŸ˜…πŸ˜… hii kali kuliko
 
Anakuulizia umekula na pesa hatumi mfyuuu.!!! 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…