Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
Inategemea na msg ya kujibu kwa wakati, unakuta muda wote unaongelea ujinga wa warumi, sasa utaweza kweli?? Muda mwingine lazima tujadili PESA buana
 
Zingatia tarehe na tofauti ya masaa au dakika.
Namtumia msg saa ngapi na yeye anakuja kujibu baada ya muda gani.👇👇View attachment 3012480
Nikaenda nae kama mwezi ghaflaa nikakata kambaa🤣🤣🤣😂akawa kimyaa na yeye ananisubiri nimuandikie msg...akaibuka ghaflaa👇👇
View attachment 3012481
Heri ya muungano...
Jibu: Amina.

😅😅 hii kali kuliko
 
Back
Top Bottom