Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ya Mwifwa anataka nianze kumshambulia nyoka ambae sioni kichwa chake kipo wapiMpaji Mungu eti unalia mdogo wangu?
Hilo ni neno aina ya kielezi, sio lazima uwe umelia ila linaelezea hali ya umuhimu uliyo nayo kuhusu hilo ombiMkuu mbona mi sijalia[emoji16]
jamanii 😂😂🙈🙈 nilisahàu bana, kumbe hivi sina hogo mimi jamani 😂😂😂😂Wizo ushatoka nje ya mstari 😂😂😂
Hogo unalo toka lini?? Ww mbona unanichanganya?!! Nita cancel ule mwaliko wa kuja kwangu kunisalimia sasa.!!
Inategemea na msg ya kujibu kwa wakati, unakuta muda wote unaongelea ujinga wa warumi, sasa utaweza kweli?? Muda mwingine lazima tujadili PESA buanaHuwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu
Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
Heri ya muungano...Zingatia tarehe na tofauti ya masaa au dakika.
Namtumia msg saa ngapi na yeye anakuja kujibu baada ya muda gani.👇👇View attachment 3012480
Nikaenda nae kama mwezi ghaflaa nikakata kambaa🤣🤣🤣😂akawa kimyaa na yeye ananisubiri nimuandikie msg...akaibuka ghaflaa👇👇
View attachment 3012481
Unapotezewa muda na husomi majira ya nyakatiHuwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu
Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
Ngoja nipitie Convo nlizoreply usikuHilo ni neno aina ya kielezi, sio lazima uwe umelia ila linaelezea halibya umuhimu uliyo nayo kuhusu hilo ombi
Kwangu sikukaribishi wizo ushaniogopesha!! Usije kunigeuka bure 😂😂😂jamanii 😂😂🙈🙈 nilisahàu bana, kumbe hivi sina hogo mimi jamani 😂😂😂😂
Tena nakuja nimevaa sketi ya tentemente heheheheee... 😂😂😂😂😂 mtoto wa kike sina baya mie wala usihofuuuuuuu.... hogo langu limeenda likizo my 😂😂😂Kwangu sikukaribishi wizo ushaniogopesha!! Usije kunigeuka bure 😂😂😂
😂😂😂 Ili ufiche hogo nijimix unichachue?!!Tena nakuja nimevaa sketi ya tentemente heheheheee... 😂😂😂😂😂 mtoto wa kike sina baya mie wala usihofuuuuuuu.... hogo langu limeenda likizo my 😂😂😂
100%Achana nae, hajakua huyo! Akifika 30 years atakuwa anajibu sms kwa wakati
Hiyo mbinu ni nzuri sana, baada ya kumkula yeye ndio asumbuke kukutafuta.We endelea kujipendekeza mpaka umkule
Ukishamkula sasa, ni wakati wako na wewe
#YNWA
😁😁🤣😂alikuwa ananiburuza aisee.Heri ya muungano...
Jibu: Amina.
😅😅 hii kali kuliko
Asipoelewa basiHili nalo akalitazame