Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

Ukituma pesa sasa ndio angalau hata text zinajibika. Kuchatishwa tu "umeamka, umekula, umevaa nini, sijui tuma picha nikuone..." aaagggrrr zinakata stim balaa . Tunawapenda sana nyie pamoja na pesa zenu.
Unaweza kunipa mfano mtu anatakiwa kichatishwa.
 
Unahangaika bure mkuu, simu ina saa, angalia muda uliotuma msj na muda aliojibu nawewe unajibu.

Mfano umetuma msj saa 10:30am akajibu saa 10:15am nawewe jibu baada ya 15mnts akijibu baada ya masaa mawili na wewe hesabu masaa mawili alafu jibu, mtaenda sawatu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Mimi lazima nivute dakika kama 8 ndio najibu sms na huyu wangu yupo hivi so nimezoa hivi.

Nikapata kimoja hiko aisee sms ukituma ile ime deliver tu chee jibu tiali nakaona jinsi inavyokata
 
Unahangaika bure mkuu, simu ina saa, angalia muda uliotuma msj na muda aliojibu nawewe unajibu.

Mfano umetuma msj saa 10:30am akajibu saa 10:15am nawewe jibu baada ya 15mnts akijibu baada ya masaa mawili na wewe hesabu masaa mawili alafu jibu, mtaenda sawatu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
10:30am Hadi 10:15 am🤔 almost masaa 24
 
Zingatia tarehe na tofauti ya masaa au dakika.
Namtumia msg saa ngapi na yeye anakuja kujibu baada ya muda gani.[emoji116][emoji116]View attachment 3012480
Nikaenda nae kama mwezi ghaflaa nikakata kambaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]akawa kimyaa na yeye ananisubiri nimuandikie msg...akaibuka ghaflaa[emoji116][emoji116]
View attachment 3012481

Watu wanapeana hadi heri ya muungano [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuchati ni Kama mchezo wa tennis (piga nipige) tofauti na hapo....., Mmoja wenu anajipendekeza.

Huwezi piga tennis kumi mwenzio ndio anapiga ka-tennis kamoja..., Haitakuwa tennis Tena.
Unaweza vipi piga tennis 10 bila mwenzio kukurudishia mpira? Piga 1 kaa kwa kutulia, akiwa na chance utaona mpira unarudi kwako! Otherwise ni usumbufu
 
Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
Kama hajibu txt uwe unampigia km hapokei ,unaacha kabisa kumtafuta
 
Back
Top Bottom