Kwani kila ukiulizwa umekula lazima uwe na njaa?Anakuulizia umekula na pesa hatumi mfyuuu.!!! 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kila ukiulizwa umekula lazima uwe na njaa?Anakuulizia umekula na pesa hatumi mfyuuu.!!! 🤣🤣🤣
Ndio 😜Kwani kila ukiulizwa umekula lazima uwe na njaa?
Unaweza kunipa mfano mtu anatakiwa kichatishwa.Ukituma pesa sasa ndio angalau hata text zinajibika. Kuchatishwa tu "umeamka, umekula, umevaa nini, sijui tuma picha nikuone..." aaagggrrr zinakata stim balaa . Tunawapenda sana nyie pamoja na pesa zenu.
Mimi lazima nivute dakika kama 8 ndio najibu sms na huyu wangu yupo hivi so nimezoa hivi.Unahangaika bure mkuu, simu ina saa, angalia muda uliotuma msj na muda aliojibu nawewe unajibu.
Mfano umetuma msj saa 10:30am akajibu saa 10:15am nawewe jibu baada ya 15mnts akijibu baada ya masaa mawili na wewe hesabu masaa mawili alafu jibu, mtaenda sawatu.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
✍️✅Tafuta hela
10:30am Hadi 10:15 am🤔 almost masaa 24Unahangaika bure mkuu, simu ina saa, angalia muda uliotuma msj na muda aliojibu nawewe unajibu.
Mfano umetuma msj saa 10:30am akajibu saa 10:15am nawewe jibu baada ya 15mnts akijibu baada ya masaa mawili na wewe hesabu masaa mawili alafu jibu, mtaenda sawatu.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Zingatia tarehe na tofauti ya masaa au dakika.
Namtumia msg saa ngapi na yeye anakuja kujibu baada ya muda gani.[emoji116][emoji116]View attachment 3012480
Nikaenda nae kama mwezi ghaflaa nikakata kambaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]akawa kimyaa na yeye ananisubiri nimuandikie msg...akaibuka ghaflaa[emoji116][emoji116]
View attachment 3012481
Hapa ndio ile kauli ya wanawake ni wabinafsi ndio inapoonekana sometimes mna shusha value zenu kwa kuendekeza ujinga kama huoNdio 😜
Unaweza vipi piga tennis 10 bila mwenzio kukurudishia mpira? Piga 1 kaa kwa kutulia, akiwa na chance utaona mpira unarudi kwako! Otherwise ni usumbufuKuchati ni Kama mchezo wa tennis (piga nipige) tofauti na hapo....., Mmoja wenu anajipendekeza.
Huwezi piga tennis kumi mwenzio ndio anapiga ka-tennis kamoja..., Haitakuwa tennis Tena.
nakaziaHutakiwi sumbuliwa na Mwanamke
Kama hajibu txt uwe unampigia km hapokei ,unaacha kabisa kumtafutaHuwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu
Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
😁😁🤣Sasa kama anazingua si ni bora azinguliwe na yeye tuuWatu wanapeana hadi heri ya muungano [emoji23][emoji23][emoji23]
Nini value?!! Watu tumeona K-vant usitutishe 🤣🤣🤣🤣Hapa ndio ile kauli ya wanawake ni wabinafsi ndio inapoonekana sometimes mna shusha value zenu kwa kuendekeza ujinga kama huo
[emoji23]Vice versa.10:30am Hadi 10:15 am[emoji848] almost masaa 24
Kila jambo ukitanguliza njaa mwanaume hataweza kukupa thamani badala yake utakuwa kwaajili ya matumizi yake tu ya mwiliNini value?!! Watu tumeona K-vant usitutishe 🤣🤣🤣🤣
Kwenye matumizi ya mwili hapo wote mnatumianaKila jambo ukitanguliza njaa mwanaume hataweza kukupa thamani badala yake utakuwa kwaajili ya matumizi yake tu ya mwili