Huwa unakumbuka nini ukisikia au kusikiliza nyimbo za Judy Boucher

Huwa unakumbuka nini ukisikia au kusikiliza nyimbo za Judy Boucher

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
11,640
Reaction score
24,066
images (5).jpeg



Can't Be With You Tonight

You Caught My Eye

That Night We Met

Dreaming of a Little Island

Turn Back the Time

Hizo hapo juu ni baadhi ya nyimbo za Judy Boucher zikipigwa nakumbuka Christmas 🎄 Moja udogoni udogoni baada ya kula pilau na kunywa soda Inachukuliwa Redio cassettes then zinawekwa izo nyimbo kwa kweli siku hazigandi........
 
But I love him the same way as I love you now. And I am sorry I can't be with you tonight. .

Huwa nalia nikisikia haya maneno naona tenda langu linaliwa kisembe hana huruma kabisa huyu Judy. 😬
Mashairi mwiba
 
If it is love, my dear, welcome to my world
And let us share the good times together
It's only one world, let's share it together
'Cause all my eyes can see is you, my dear
Na na na na na na
Na na na na na
Na na nna
Na na na, na na na
 
Back
Top Bottom