Huwa unakumbuka nini ukisikia au kusikiliza nyimbo za Judy Boucher

Mwaka jana mwezi wa kumi wakati najiandaa nasafari nilikua sehemu na kaka yangu mdogo nilienda kumuaga.Katika maongezi akanikumbushia nyimbo za huyu mama akaniambia sisy Ulikua unaniboaga sana ukiweka hyo kanda yako ya kizungu tukacheka tu kiukwel akanikumbusha mbali
 
sisy Ulikua unaniboaga sana ukiweka hyo kanda yako ya kizungu tukacheka tu kiukwel akanikumbusha mbali...😊😊

Mm dada angu alikuaga ana mpenda sana Craig David
Walking away
Saven days
Na nyingine nyinyi
 
Back
Top Bottom