Huwa unakumbuka nini ukisikia au kusikiliza nyimbo za Judy Boucher

Huwa unakumbuka nini ukisikia au kusikiliza nyimbo za Judy Boucher

Yes, as far as we know, Judy Boucher is still alive. We don't have any current information about Judy Boucher's health. However, being younger than 50, we hope that everything is ok.

Source. Google

Amezaliwa mwaka 1970-to present
Boucher amezaliwa 65 na alishafariki mwaka jana
 
Kuna mistari anasema:

Please understand my situation, believe me I can't be with you tonight!....

Mistari ya kuchoma moyo kabisa....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]... huyu mama alikuwa balaa.
 
Kuna mistari anasema:

Please understand my situation, believe me I can't be with you tonight!....

Mistari ya kuchoma moyo kabisa....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]... huyu mama alikuwa balaa.
then anasema:-

"May b when, we meet again some other timee.... cause tonight I will only share my love with him"
 
Huu wimbo umekaa km mrembo hana maamuzi
Kuna mistari anasema:

Please understand my situation, believe me I can't be with you tonight!....

Mistari ya kuchoma moyo kabisa....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]... huyu mama alikuwa balaa.
 
If it is love, my dear, welcome to my world
And let us share the good times together
It's only one world, let's share it together
'Cause all my eyes can see is you, my dear
Na na na na na na
Na na na na na
Na na nna
Na na na, na na na
Huu wimbo, nilikuwa ninaupenda kuliko nyimbo zote za huyo JUDI!
 
Amefariki mwaka jana September alikuwa anasumbuliwa na saratani ya kongosho kwa zaidi ya miaka 6

Lini amefariki mkuu au unazungumzia bucha nyama
Samahani, Kuna somebody anaitwa Judea Judith Boucher ndio alifariki mwaka jana. Poleni kwa usumbufu wapenzi wa wake. Wimbo wa you caught my eyez na that night we met zinanikosha sana
 
Samahani, Kuna somebody anaitwa Judea Judith Boucher ndio alifariki mwaka jana. Poleni kwa usumbufu wapenzi wa wake. Wimbo wa you caught my eyez na that night we met zinanikosha sana
That night we met.......saut nzuri 🔥🔥 ndani ya midundo tunakumbuka mambo mengi......
 
Back
Top Bottom