Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Yes, as far as we know, Judy Boucher is still alive. We don't have any current information about Judy Boucher's health. However, being younger than 50, we hope that everything is ok.Kwanza bado yupo hai
Pili kwanini alitoa album moja tu akakimbia
No future in the pastView attachment 2518392
Can't Be With You Tonight
You Caught My Eye
That Night We Met
Dreaming of a Little Island
Turn Back the Time
Hizo hapo juu ni baadhi ya nyimbo za Judy Boucher zikipigwa nakumbuka Christmas π Moja udogoni udogoni baada ya kula pilau na kunywa soda Inachukuliwa Redio cassettes then zinawekwa izo nyimbo kwa kweli siku hazigandi........
Mashairi mwibaBut I love him the same way as I love you now. And I am sorry I can't be with you tonight. .
Huwa nalia nikisikia haya maneno naona tenda langu linaliwa kisembe hana huruma kabisa huyu Judy. π¬
Yes Ali Bamba sana kile kipindi...No future in the past
Huyu dada sitamsahau she was talented
ππDaah miaka hiyo, That night we met.
Basi ndiyo naripoti shule wale form two ndiyo wanaimba aisee, najisemea kimoyomoyo huyu anajua kizungu teh teh teh. Kitamboππ
Kitambo iyoBasi ndiyo naripoti shule wale form two ndiyo wanaimba aisee, najisemea kimoyomoyo huyu anajua kizungu teh teh teh. Kitambo
Tusimulie ππππ€ππNilipiga madem kadhaa wakali kupitia blues za huyu dada enzi zile za mwalimu.
π€π€Basi ndiyo naripoti shule wale form two ndiyo wanaimba aisee, najisemea kimoyomoyo huyu anajua kizungu teh teh teh. Kitambo
Siku hazigandi π€£π€£π€£Nakumbuka ndy audio cassette tape yangu ya kutongozea mademu,,
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],,
Halafu demu akishakuja ghetto kuomba Mbususu nashindwa..
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app