Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
-
- #41
Mlikua mna enjoy ๐๐If this is love my dear! Hii ngoma Inanikumbusha arusha enzi hizo bado watoto mzee anatupeleka viwanja.
Sana arusha Hotel ndo kipindi hicho ipo hot miaka ya 90s ilikua balaa .Mlikua mna enjoy [emoji3][emoji3]
My all time female singerView attachment 2518392
Can't Be With You Tonight
You Caught My Eye
That Night We Met
Dreaming of a Little Island
Turn Back the Time
Hizo hapo juu ni baadhi ya nyimbo za Judy Boucher zikipigwa nakumbuka Christmas [emoji319] Moja udogoni udogoni baada ya kula pilau na kunywa soda Inachukuliwa Redio cassettes then zinawekwa izo nyimbo kwa kweli siku hazigandi........
Yupo hai ana nyimbo nyingi ila hiyo ndio ilikuwa hit album yakeKwanza bado yupo hai
Pili kwanini alitoa album moja tu akakimbia
Kama upo kwenye A/C๐๐.,....Full kiyoyoziHuwa nikisikiliza ngoma zake nahis kaubarid fulan
Yaan acha kabisa,afu akili yote inatuliaKama upo kwenye A/C๐๐.,....Full kiyoyozi
๐ต Music ๐ต๐ถ๐ถ๐ต๐ต vitamin musicYaan acha kabisa,afu akili yote inatulia
Hahahahahaha wacha weeUsalimie wakubwa zako...[emoji4][emoji4]
TrueHahahahahaha wacha wee
Saivi umezeeka๐ต๐ต๐ถ๐ถ๐ถ๐คNakumbuka kipindi bado young
Bibi alikuaga mkali...You caught my eye.......hatari sana huyu Bibi
Nilianza kumsikiliza tangu nikiwa mdogo sana,Bro miaka hiyo anatoka Njombe Sekondari na zile kanda moja wapo inakuwa ya Judy Boucher.............
๐ ๐คฃ Yร an ni mwendo wa kunata na beat....Kuna sister angu alikua na kanda yake ya caseti,alikua anaipiga sana ila kwa vile nilikua sijui kizungu basi naenda na mdundo tu
Judy Boucher Jo jwani๐ณ๐ค