Huwa unamuamini asilimia ngapi mwenyeji wako anapokwambia usiogope, Mbwa wake hang'ati?

 
Mm ukija kwangu watakuja mbwa wote kasoro mmoja huyo nisikudanganye habweki hana mwili wa kutisha ila akija mm mwenyewe najua mambo yameharibika
Hehehehehehe.... sasa wakumtuliza mwenzie ni nani hapo???
 
Sasa hapo ungemgeukia ukamkazia macho angesimama na kuishia kubweka tu! Asingekufanya lolote

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Ilaaaa ukiona kwa mwenzio yanachekesha,ngoja yakufike Sasa utajua hujui.Ila nime πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ sanaaa
 
Kuna mtu siku moja akashika nyoka mdogo wa wastan akaniletea anataka kuniwekea shingoni kidogo nizimie hadi nilipee
Uwoga na kukojoa kuhusiana nin?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba zote nazoingia huwa nawaambia kabisa sina imani na mbwa!
Kuna apartment nilipanga kulikua na mbwa wale wakubwa ilibidi mlinzi awe ananisindikiza chumbani na kuondoka. Nilimuomba mmiliki awaondoe maana ni kero kwangu.
Kwingine hua siingii hadi wamfunge mbwa. Labda kuna vimbwa fulani vidogo vina manyoya mengi hivyo hua siviogopi maana naweza kuvimudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…