Huwa unamuamini asilimia ngapi mwenyeji wako anapokwambia usiogope, Mbwa wake hang'ati?

Hahahah
 
Katika viumbe ambao huwa siwaogopi ni mbwa na nyuki nimecheza nao muda mrefu najua tabia zao sana nyuki akikutana na mimi huwa anageuka kipepeo na mbwa anageuka mbuzi
Hongera kwa ujasiri
 
Mimi ile wanakuja kwangu tu, ningeludi ndani ya gari mbio hahahaha
 
Wewe ni jasiri sana kwa hapo mimi ningeliwa tu mana ningetoka mbio na hili ni kosa. Mbwa sinaga urafiki nao kabisa wakati mtoto waliwahi kuniumiza hadi leo hii hawa viumbe hatuna ukaribu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walikuwa hawataki uende kwao
 
Katika viumbe ambao huwa siwaogopi ni mbwa na nyuki nimecheza nao muda mrefu najua tabia zao sana nyuki akikutana na mimi huwa anageuka kipepeo na mbwa anageuka mbuzi

Kuna clip niliona dada anaumwa na mbwa wake walikuwa kwenye lift aisee alikuwa anavurutwa yule dada mpaka police walienda msaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…