Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kusema pia "amani iwe juu yako"
Usimwite mtu Mzee hakuna mtu anaitwa jina la mzee. ukimuona mtu mzima sana mwambie Baba hali yako au Mama hali yako kama dada hali yako nadhani ina sound better.me siku hizi stoi shikamo... ni mwendo wa mzee kwema?
Waite hayo majina wewe mwenyewe, huo muda sina. Nimuite baba kivipi? kwanini? sina huo muda.Usimwite mtu Mzee hakuna mtu anaitwa jina la mzee. ukimuona mtu mzima sana mwambie Baba hali yako au Mama hali yako kama dada hali yako nadhani ina sound better.
Kuna jamaa nilimwambiaga mzima kaka likajibu kwahy hapa unaona nimekufa hahahaPotezea kwa:
a) Habari yako.
b) Hujambo?
c) Mkuu kwema?
d) Shem mzima?
The lost kama jina lakoWaite hayo majina wewe mwenyewe, huo muda sina. Nimuite baba kivipi? kwanini? sina huo muda.
Why hiyo yako sijaiandika, maana najua viazi wa majibu kama alivyokujibu huyo binadamu hawakosekano.Kuna jamaa nilimwambiaga mzima kaka likajibu kwahy hapa unaona nimekufa hahaha
Aisee...Kuna jamaa nilimwambiaga mzima kaka likajibu kwahy hapa unaona nimekufa hahaha
Kuna jamaa nilimwambiaga mzima kaka likajibu kwahy hapa unaona nimekufa hahaha
Wakristu tunasema pia ^Neema na amani viwe kwenu^Hakuna kitu kinanichukiza kama hizi salamu mpya Salaam alaykum halafu bwana yesu asifiwe. Salam alaykum sio salamu ya kidini ni neno la kiarabu amani juu yenu hata neno Hali au Salama ni maneno ya kiarabu. Kwenye hali halisi mitaani watu wanasalimiana Asalam alaykum mpaka kesho na unaweza kumsalimia hata mtu mzima ni salamu inafit marika yote mkubwa au mdogo. Lakini sijawahi kusikia mitaani watu wakisalimiana Bwana yesu asifiwe sijui imetoka wapi hii au ndio dhana ya ushindani wakati hakuna uhalisia wa salamu hii tumeanza kuisikia juzi juzi tu hawa wanasiasa uchwara.