Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia hata ushirikina
Anaweza rogwa
Angalizo zuri,lakini nikitaka picha za watoto,naiingia mtandaoni TU,zimejaa kibao,mpaka video.Wakuu kwema?
Inaweza kutokea ndugu yako akaomba kumpiga picha mtoto wako akisema mtoto amependeza au mtoto wako mzuri picha zitatoka vizuri, wakati mwingine inaweza kuwa hata kwa majirani au watu ambao huwajui kabisa.
Dunia imebadilika, huwezi kujua unayemruhusu ampige picha mtoto wako ameficha nini moyoni.
Picha hizo zinaweza kutumiwa kwa namna tofauti kama vile;
- Matangazo ya Biashara: Mtoto anapigwa picha na picha zake zinaenda kutumiwa kwenye matangazo mbalimbali bila ridhaa yako.
- Picha hizo kuuzwa kwa watu wenye 'fantancy' za kingono zinazohusu watoto.
- Picha hizo kutumika kama sampuli za kwenda kuonesha bidhaa (mtoto wako) kwa watu wanaojihusisha na biashara haramu za binadamu (human trafficking). Mteja akipenda mtoto wako itatafutwa mbinu itakayoweza kufanikisha kupatikana mtoto wako na atakachoenda kufanywa huko ni chochote atakachoamua mnunuzi, sababu tayari anamiliki 'bidhaa' hiyo.
Mambo haya yanatokea kwa wingi kuliko vile tunavyofikiria, hivyo mzazi kuwa makini na mtoto wako, usiruhusu mtoto wako apigwe picha ovyo ukawa njia ya mtoto wako kwenda kufanyiwa ukatili.
Unaweza kusema unamuamini mtu anayempiga picha ni kaka yake, mjomba wake, shangazi yake, jirani mwema nk, lakini matukio mengi yameonesha si kila unayesema unamjua yupo hivyo kweli. Pamoja na hayo yote, kwanini apige picha ya mtoto wako, ili iweje?
Nini maoni yako kuhusu hili?
mbona watu wengi tu wana weka picha mitandaoni inamaana km mtu anataka picha si anachukua tuu huko? au picha ya kupiga na muhusika in matter sana kuliko zinazo postiwa mitandaoniWakuu kwema?
Inaweza kutokea ndugu yako akaomba kumpiga picha mtoto wako akisema mtoto amependeza au mtoto wako mzuri picha zitatoka vizuri, wakati mwingine inaweza kuwa hata kwa majirani au watu ambao huwajui kabisa.
Dunia imebadilika, huwezi kujua unayemruhusu ampige picha mtoto wako ameficha nini moyoni.
Picha hizo zinaweza kutumiwa kwa namna tofauti kama vile;
- Matangazo ya Biashara: Mtoto anapigwa picha na picha zake zinaenda kutumiwa kwenye matangazo mbalimbali bila ridhaa yako.
- Picha hizo kuuzwa kwa watu wenye 'fantancy' za kingono zinazohusu watoto.
- Picha hizo kutumika kama sampuli za kwenda kuonesha bidhaa (mtoto wako) kwa watu wanaojihusisha na biashara haramu za binadamu (human trafficking). Mteja akipenda mtoto wako itatafutwa mbinu itakayoweza kufanikisha kupatikana mtoto wako na atakachoenda kufanywa huko ni chochote atakachoamua mnunuzi, sababu tayari anamiliki 'bidhaa' hiyo.
Mambo haya yanatokea kwa wingi kuliko vile tunavyofikiria, hivyo mzazi kuwa makini na mtoto wako, usiruhusu mtoto wako apigwe picha ovyo ukawa njia ya mtoto wako kwenda kufanyiwa ukatili.
Unaweza kusema unamuamini mtu anayempiga picha ni kaka yake, mjomba wake, shangazi yake, jirani mwema nk, lakini matukio mengi yameonesha si kila unayesema unamjua yupo hivyo kweli. Pamoja na hayo yote, kwanini apige picha ya mtoto wako, ili iweje?
Nini maoni yako kuhusu hili?
hivi ni negative feeling au negative attitudeUna negative feeling...
🤣🤣🤣
Think positive.
Any..hivi ni negative feeling au negative attitude
Ameandika.Hajanena muhishimiwa!🤔
Kuna ambazo zinapigwa kwa matumizi ya biashara kutangaza kitu fulani mzazi akiwa anajua kinachoendelea, na picha iliyopigwa haiibui hisia nyingingine japokuwa hilo haliguarantee wenye nia mbaya kufanya kitu kibaya au kuona zaidi ya kinachooneshwa, na nyingi ambazo zipo kwa dhumuni la biashara zinakuwa hazina taarifa kumuhusu mtoto huyo kama vile; jina, shule anayosoma, anapoishi nk, tofauti na sisi watu wa kawaida tunaoweka picha za watoto wetu kila wakati kwenye events mbalimbali na taarifa nyingi zinazowezesha mtu yoyote mtandaoni kukufikia hata kama hakujui/hamna ukaribu.mbona watu wengi tu wana weka picha mitandaoni inamaana km mtu anataka picha si anachukua tuu huko? au picha ya kupiga na muhusika in matter sana kuliko zinazo postiwa mitandaoni
haimake sense bwana imani zenu tuu mtu anawezaje kupost picha akatoa maelezo yote hayo?/ mahali anapoishi, shule na details nyingine? watu wanapost watoto kwenye event mbalimbali miaka nenda rudi... dunia ya sasa ni utawazi mtu anapost tokea mtoto anazaliwa hadi anahitimu chuo na hakuna baya lolote linalomkuta.... me imani ya mtu tu na mawazo yake....Kuna ambazo zinapigwa kwa matumizi ya biashara kutangaza kitu fulani mzazi akiwa anajua kinachoendelea, na picha iliyopigwa haiibui hisia nyingingine japokuwa hilo haliguarantee wenye nia mbaya kufanya kitu kibaya au kuona zaidi ya kinachooneshwa, na nyingi ambazo zipo kwa dhumuni la biashara zinakuwa hazina taarifa kumuhusu mtoto huyo kama vile; jina, shule anayosoma, anapoishi nk, tofauti na sisi watu wa kawaida tunaoweka picha za watoto wetu kila wakati kwenye events mbalimbali na taarifa nyingi zinazowezesha mtu yoyote mtandaoni kukufikia hata kama hakujui/hamna ukaribu.
eti mtu akitaka picha si ana upload tuu kwenye mitandao huko jaman😛Wakizitaka picha wanazidownload kwenye mitandao wazazi wengi utupia picha za familia zao huko
Usiseme haiwezi kutokea wakati matukio yanatokea kila kukicha fanya utafiti utakungundua hilo, lakini pia kuna taasisi nyingi zinazoshulika na haki na usalama wa watoto, nenda upate taarifa halafu urudi hapa....nakukuhakikishia utatengua kaulihaimake sense bwana imani zenu tuu mtu anawezaje kupost picha akatoa maelezo yote hayo?/ mahali anapoishi, shule na details nyingine? watu wanapost watoto kwenye event mbalimbali miaka nenda rudi... dunia ya sasa ni utawazi mtu anapost tokea mtoto anazaliwa hadi anahitimu chuo na hakuna baya lolote linalomkuta.... me imani ya mtu tu na mawazo yake....
Kama umemuelewa basi na ww unaingia humo kwenye Negative ThinkingMbona amenyoosha maelezo?
Mimi nimemuelewa sana
Wakuu kwema?
Inaweza kutokea ndugu yako akaomba kumpiga picha mtoto wako akisema mtoto amependeza au mtoto wako mzuri picha zitatoka vizuri, wakati mwingine inaweza kuwa hata kwa majirani au watu ambao huwajui kabisa.
Dunia imebadilika, huwezi kujua unayemruhusu ampige picha mtoto wako ameficha nini moyoni.
Picha hizo zinaweza kutumiwa kwa namna tofauti kama vile;
- Matangazo ya Biashara: Mtoto anapigwa picha na picha zake zinaenda kutumiwa kwenye matangazo mbalimbali bila ridhaa yako.
- Picha hizo kuuzwa kwa watu wenye 'fantancy' za kingono zinazohusu watoto.
- Picha hizo kutumika kama sampuli za kwenda kuonesha bidhaa (mtoto wako) kwa watu wanaojihusisha na biashara haramu za binadamu (human trafficking). Mteja akipenda mtoto wako itatafutwa mbinu itakayoweza kufanikisha kupatikana mtoto wako na atakachoenda kufanywa huko ni chochote atakachoamua mnunuzi, sababu tayari anamiliki 'bidhaa' hiyo.
Mambo haya yanatokea kwa wingi kuliko vile tunavyofikiria, hivyo mzazi kuwa makini na mtoto wako, usiruhusu mtoto wako apigwe picha ovyo ukawa njia ya mtoto wako kwenda kufanyiwa ukatili.
Unaweza kusema unamuamini mtu anayempiga picha ni kaka yake, mjomba wake, shangazi yake, jirani mwema nk, lakini matukio mengi yameonesha si kila unayesema unamjua yupo hivyo kweli. Pamoja na hayo yote, kwanini apige picha ya mtoto wako, ili iweje?
Nini maoni yako kuhusu hili?
Kwahiyo tatizo ni mtoto akipigiwa picha au picha ya mtoto ikipatikana popote paleKuna watu wanabeza na kuona kama unachekesha.
Ni kawaida ya watanzania hasa tanganyika ujuaji, ila kama unataka kujua ni kosa kumpiga picha mtu hasa mtoto bila ridhaa emu kaishi nje ya tanzania kwa wenzetu uyafanye hayo.
Tatizo wasiokuwa na exposure waliokulia na kuzaliwa mbwinde ndo wanajifanya wajuaji.
Kaza fuvu na uendeleee na kuruhusu watu wapige picha za mwanao
Acha ku complicate maisha man.Unawaza ushirikina tu....hapo kwenye uzi hujaona kingine cha kukuelimisha. Matukio mangapi umesikia yametokea kwa mkoa mmoja tu watoto kufanyiwa vitendo vya ukatili? unafikiri njia pekee ni mpaka mtu awe anaishi na wewe karibu? Hata wa mbali anaweza kumpata mtoto wako kirahisi ikiwa unaweka taarifa za mtoto wako mtandaoni.
Mtoto akienda shule unapiga picha, siku ya birthday unaweka picha, akiwa na marafiki zake, ndugu unaweka picha, sehemu mkitoa out picha, yaani kutoka kwenye mtandao mtu anajua jina kamili la mtoto wako, mnakoishi, chumba chake kinafananaje, shule anayosoma, vyakula anayopenda/asivyopenda, marafiki zake nk. mwenye nia ya kumdhuru unafikiri ni ngumu kumpata. Na watoto ni rahisi kurubuni. Kuwa makini na uwaelimishe wengine pale unapopata nafasi