mbkwenye hili la picha nakumbuka kuna mganga alishikwa akiwa na picha za watu mbalimbali ambao alidili nao katika kazi zake
sijakataa kuna taasisi km hizo kwa ajili ya haki na usalama kwa wototo... lkn bado nipo pale pale kupost picha ya mtoto na imani za kishirikina ni mtazamo wa mtu labda ishu ya kusalama lkn hata kwa mtu mzima km mtu anataka akufanyie ubaya akipewa picha yako is the same thing kwa mtoto so kupost picha sio big dealUsiseme haiwezi kutokea wakati matukio yanatokea kila kukicha fanya utafiti utakungundua hilo, lakini pia kuna taasisi nyingi zinazoshulika na haki na usalama wa watoto, nenda upate taarifa halafu urudi hapa....nakukuhakikishia utatengua kauli