Huwa unaruhusu mtoto wako kupigwa picha na watu mbalimbali ikiwemo ndugu? Unajua madhara yake?

kwenye hili la picha nakumbuka kuna mganga alishikwa akiwa na picha za watu mbalimbali ambao alidili nao katika kazi zake
mb
Usiseme haiwezi kutokea wakati matukio yanatokea kila kukicha fanya utafiti utakungundua hilo, lakini pia kuna taasisi nyingi zinazoshulika na haki na usalama wa watoto, nenda upate taarifa halafu urudi hapa....nakukuhakikishia utatengua kauli
sijakataa kuna taasisi km hizo kwa ajili ya haki na usalama kwa wototo... lkn bado nipo pale pale kupost picha ya mtoto na imani za kishirikina ni mtazamo wa mtu labda ishu ya kusalama lkn hata kwa mtu mzima km mtu anataka akufanyie ubaya akipewa picha yako is the same thing kwa mtoto so kupost picha sio big deal
 
Upo sahihi Sana mkuu, sio vizuri kuwapiga picha watoto wadogo na kuzianika mitandaoni.Wapo watu wanaoweza kuiba nyota za watoto kupitia zile picha.
 
well said kibongo bongo hakuna security kihiivyo watoto wanazagaa sana mtaani mtu aamue tuu privacy na watoto wake lkn sio kuogopa atapigwa tukio sababu ya picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…