Huwa unatumia vigezo gani kumjua mshamba?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Mshamba ni nani?

Jibu : Mshamba ni mshamba.

Haya sasa utamjuaje mshamba au huwa unatumia vigezo gani kuconclude kwamba mtu fulani ni mshamba?

Mimi huwaga naangalia vitu kadha wa kadha. Baadhi ya vitu hivyo ni hivi hapa chini👇

1. Akiwa anatumia True Caller.

Unapiga simu kwa Mwnyekiti mtendaji wa Bonyokwa halafu anapokea anataja jina lako " Hello Bwana Likud wa Jf habari yako" . Tayari najua nadili na mshamba.

2. Ana namba za simu ambazo ni unique.

Mfano: Ndugu zangu namba zangu za simu ni:

0766 22 33 44 au 0755 55 55 55 au 0765 11 22 33. Moja kwa moja huwaga najiridhisha kwamba nadili na mshamba. ( most of the time namba hizi huwaga wanazinunua kwa wale mawakala wanaopita barabarani)

3. Ana namba za simu zaidi ya moja za mitandao tofauti halafu zina fanana.

Mfano: Ndugu zangu mkitaka kunipata nitafuteni kupitia :

Tigo: 0712 35 67 89

Voda ; 0766 35 67 89.

Airtel: 0688 35 67 89.

siwezi kutaja vigezo vyote taka na Wewe vigezo vyako

UP DATES

4. kusikiliza redio

5. Kusikiliza redio wakati mechi mnaangalia kwenye tv . Anashangilia goli kabla ninyi wa kwenye tv hamjaona goli. Ole wako umwambie azime redio, wanakuwaga wakali hao hatari.
 
Mshamba ni nani?

Jibu : Mshamba ni mshamba.

Haya sasa utamjuaje mshamba au huwa unatumia vigezo gani kuconclude kwamba mtu fulani ni mshamba?

Mimi huwaga naangalia vitu kadha wa kadha. Baadhi ya vitu hivyo ni hivi hapa chini👇

1. Akiwa anatumia True Caller.

Unapiga simu kwa Mwnyekiti mtendaji wa Bonyokwa halafu anapokea anataja jina lako " Hello Bwana Likud wa Jf habari yako" . Tayari najua nadili na mshamba.

2. Ana namba za simu ambazo ni unique.

Mfano: Ndugu zangu namba zangu za simu ni:

0766 22 33 44 au 0755 55 55 55 au 0765 11 22 33. Moja kwa moja huwaga najiridhisha kwamba nadili na mshamba. ( most of the time amna hizi huwaga wanazinunua kwa wale mawakala wanaopita barabarani)

3. Ana namba za simu zaidi ya moja za mitandao tofauti halafu zina banana.

Mfano: Ndugu zangu mkitaka kunipata nitafuteni kupitia :

Tigo: 0712 35 67 89

Voda ; 0766 35 67 89.

Airtel: 0688 35 67 89.

siwezi kutaja vigezo vyote taka na Wewe vigezo vyako
mshamba_hachekwi usipite huku bro
 
MTU anaanza kuuliza " oya hivi hizi pesa zote umetoa wapi ," huyu namuona kama mashamba ...

" Hivi unafanya Kazi wapi mwanangu na mshahara Ni ngapi huko ". Huyu namuona mshamba .....

Unapiga simu haipokelewi ,Badae akipokea " Hivi mbona nikipiga simu ulikuwa hupokei " huyu namuona mshamba ,nenda kwenye point moja Kwa moja .....
 
Mimi ninachofahamu Mshamba ni yule mtu anayekaa shamba! Yaani mtu ambaye anafanya shughuli zake za kilimo na kubakia huko huko shamba.

Yaani akija mjini ni kununua tu mahitaji yake muhimu, halafu anageuza zake shamba!! Huyu sasa ndiyo mshamba.
 
Mtu anapiga simu zaidi ya mara tatu ndani ya wakati mmoja.
Ukipiga simu ya kwanza, ya pili haijapokelewa tuma ujumbe akutafute.

Kuongea kwa simu kwa sauti ya juu ili watu wasikie maongezi yako ambayo yanaashiria una hela/cheo kikubwa.
 
Mshamba ni nani?

Jibu : Mshamba ni mshamba.

Haya sasa utamjuaje mshamba au huwa unatumia vigezo gani kuconclude kwamba mtu fulani ni mshamba?

Mimi huwaga naangalia vitu kadha wa kadha. Baadhi ya vitu hivyo ni hivi hapa chini👇

1. Akiwa anatumia True Caller.

Unapiga simu kwa Mwnyekiti mtendaji wa Bonyokwa halafu anapokea anataja jina lako " Hello Bwana Likud wa Jf habari yako" . Tayari najua nadili na mshamba.

2. Ana namba za simu ambazo ni unique.

Mfano: Ndugu zangu namba zangu za simu ni:

0766 22 33 44 au 0755 55 55 55 au 0765 11 22 33. Moja kwa moja huwaga najiridhisha kwamba nadili na mshamba. ( most of the time namba hizi huwaga wanazinunua kwa wale mawakala wanaopita barabarani)

3. Ana namba za simu zaidi ya moja za mitandao tofauti halafu zina banana.

Mfano: Ndugu zangu mkitaka kunipata nitafuteni kupitia :

Tigo: 0712 35 67 89

Voda ; 0766 35 67 89.

Airtel: 0688 35 67 89.

siwezi kutaja vigezo vyote taka na Wewe vigezo vyako
2 na3 hapa wachache sana watachomoa,naongezea moja,ile kuning'iniza funguo ya gari kiunoni...
 
Mshamba ni nani?

Jibu : Mshamba ni mshamba.

Haya sasa utamjuaje mshamba au huwa unatumia vigezo gani kuconclude kwamba mtu fulani ni mshamba?

Mimi huwaga naangalia vitu kadha wa kadha. Baadhi ya vitu hivyo ni hivi hapa chini👇

1. Akiwa anatumia True Caller.

Unapiga simu kwa Mwnyekiti mtendaji wa Bonyokwa halafu anapokea anataja jina lako " Hello Bwana Likud wa Jf habari yako" . Tayari najua nadili na mshamba.

2. Ana namba za simu ambazo ni unique.

Mfano: Ndugu zangu namba zangu za simu ni:

0766 22 33 44 au 0755 55 55 55 au 0765 11 22 33. Moja kwa moja huwaga najiridhisha kwamba nadili na mshamba. ( most of the time namba hizi huwaga wanazinunua kwa wale mawakala wanaopita barabarani)

3. Ana namba za simu zaidi ya moja za mitandao tofauti halafu zina banana.

Mfano: Ndugu zangu mkitaka kunipata nitafuteni kupitia :

Tigo: 0712 35 67 89

Voda ; 0766 35 67 89.

Airtel: 0688 35 67 89.

siwezi kutaja vigezo vyote taka na Wewe vigezo vyako
ukiona umeanza kufatilia watu kama hivi na ww n mshamba😆😀😃😅🤣😷🤕😂
 
Usijali mshamba_hachekwi
 
Back
Top Bottom