Huwa unatumia vigezo gani kumjua mshamba?

Ukiondoa 2 na 5 uko sahihih sana na nakazia hasa hasa 1 na 3.
Jamani nachukia Rasta na Mawigi nisiseme sana nitatukana.
 
Kuna uwezekano mkubwa na wewe pia ukawa mshamba wa kufatilia na kushangaa mambo ya watu
 
Hii imeenda
 
-Mfu mwenye kadi ya CCM

- Mtu anyetumia simu za Infinix au TECNO [emoji1787]

- Mtu anayeenda hotelini na kuagiza chapati 3 badala ya 2 au 4 [emoji1787]

- Anayekula mandazi au miwa barabarani

- Anayejichubua
 
Wote tunaoshangilia umeme ukirudi ni Washamba

Hasa wale wasemao Huooooo...! hata kama ni kimoyomoyo ni ushamba kwhy Wabongo wote ni Washamba tu
 
-Mfu mwenye kadi ya CCM

- Mtu anyetumia simu za Infinix au TECNO [emoji1787]

- Mtu anayeenda hotelini na kuagiza chapati 3 badala ya 2 au 4 [emoji1787]

- Anayekula mandazi au miwa barabarani

- Anayejichubua
Na anae sikiliza redio
 
Kwenye usafiri wa umma ndio kuna washamba wengi sana, utawajua kupitia maongezi yao wakiwa wanaongea na simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…