Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ovaroli na saspenda
Wakuu, nijibuni haya maswali:-
Huwa unavaa mavazi ya aina gani, pale unapoenda kukutana kwa mara ya kwanza, na mpenzi wako mpya, mliyefahamiana naye kupitia mtandaoni?
Na kwanini unavaa hayo mavazi?