Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

Yaani unitoe date halafu usiongee?unaanza kunitishatisha😂😂😂😂what the hell?
Siku moja tutoke hata maosi wa mchana uone kama hutonywea 🤣🤣🤣 nakuja na majamaa manne yamekula kaunda na miwani mywusi majitu meusi yameenda hewani yamejaa hayacheki na Alphard Nyeusi 😅😅😅 kama yana nilinda vile
 
Back
Top Bottom