Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Jo jiandae na kukutana na jamaa kapiga gupensi gwa hivo🤣Yaani huyu nahisi na kichwani atakuwa na bonge flan la pank!jamani hapo inabidi ujikaushe tu na kujifanya sio wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jo jiandae na kukutana na jamaa kapiga gupensi gwa hivo🤣Yaani huyu nahisi na kichwani atakuwa na bonge flan la pank!jamani hapo inabidi ujikaushe tu na kujifanya sio wewe
Unafinya mdomo na macho huku Unakaza Taya.😅😅 alafu siongei sana yani, nacheki cheki alafu nipo makini kumtazana kama vile anahojiwa na afande.. mtoto anakuwa muoga
haya, wakubwa tumeelewa😌yeah
kumbe we muha !! muhidiweJo jiandae na kukutana na jamaa kapiga gupensi gwa hivo
Kuna yale mapozi ya tithiii ndio nakuwa nayo .. mtoto anaeleka kibla mwenyewe simu mbili tatu za kuwapanga wana, najidai naongea ongea kwa code, si unajua wabongo tunavyopenda unafiki, unamjaza mtoto kuwa na shauku ya kufungua code.. unamkula chapJamaa wanasingiziwa jaman
Kuna lile jicho la kuzungusha kama ishara ukivua miwani unalipiga 🤣🤣🤣 unaona mtoto kapagawaaUnafinya mdomo na macho huku Unakaza Taya.
🤣🤣🤣 Hiiii Tisi kanyaga.
LInaitwa Jicho la Mamba.Kuna lile jicho la kuzungusha kama ishara ukivua miwani unalipiga 🤣🤣🤣 unaona mtoto kapagawaa
😅😅😅 mtoto anazama mwenyewe akiingia kwenye gari anakutana na pingu ya mchongo 🤣🤣🤣LInaitwa Jicho la Mamba.
Umbea unawadakisha sana Dada zetu kwa wahuni.Kuna yale mapozi ya tithiii ndio nakuwa nayo .. mtoto anaeleka kibla mwenyewe simu mbili tatu za kuwapanga wana, najidai naongea ongea kwa code, si unajua wabongo tunavyopenda unafiki, unamjaza mtoto kuwa na shauku ya kufungua code.. unamkula chap
Khaaaa jamani hapana, mutu from rock city siwezi kuwa muhakumbe we muha !! muhidiwe
😅😅 simu anakuwa anasikia zile code.. simu mbili tatu unamjaza shauku ya kutaka kujua nini, hata usiku wa manane utakaa nae, na utampusua for free kabisa siku hiyo hiyo kama unatakUmbea unawadakisha sana Dada zetu kwa wahuni.
Na Bunduki lako la mpira Kama alilotwangiwa Sheikh Ponda kwenye kiti😅😅😅 mtoto anazama mwenyewe akiingia kwenye gari anakutana na pingu ya mchongo 🤣🤣🤣
waha ndio huongea hivo "gumtu,gugari"Khaaaa jamani hapana, mutu from rock city siwezi kuwa muha
Una mla af unamtoka kama James Bond.😅😅 simu anakuwa anasikia zile code.. simu mbili tatu unamjaza shauku ya kutaka kujua nini, hata usiku wa manane utakaa nae, na utampusua for free kabisa siku hiyo hiyo kama unatak
Ewaaahhh nale mhola gete, naliza.waha ndio huongea hivo "gumtu,gugari"
anyway, olemora nkema ? zogo ku pm nakuwere mara moj gete
😅😅😅 ile inakaa kwenye mrango naset mazingira hadi aone hata kitako tu , alafu nakuwa calm sana mtoto anaweweseka, naanza makis humo humo 😅😅😅 hachomoiNa Bunduki lako la mpira Kama alilotwangiwa Sheikh Ponda kwenye kiti
Hiyo akishapigwa imeisha 😅😅😅Una mla af unamtoka kama James Bond.
Goja Kwanza.😅😅😅 ile inakaa kwenye mrango naset mazingira hadi aone hata kitako tu , alafu nakuwa calm sana mtoto anaweweseka, naanza makis humo humo 😅😅😅 hachomoi
Unapasua Mawimbi kama kishandu hakuna kugeuka nyuma.Hiyo akishapigwa imeisha 😅😅😅
Wanawake wanapenda status tu mzee.. hela huwa inafatiaGoja Kwanza.
Wanamke wanapenda Kuwajua au kuwa karibu na watu hatari.