Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #181
Bado uko zama za mawe za kaleMwanaume hakutani na mwanamke mtandaoni. Alafu mavazi hayana mabadiliko labda kama una maisha ya kuunga unga kwamba kuna nguo za mtoko au sikukuu. Kiufupi unasafari ndefu sana ya kujielewa hapa duniani